Hio ndio Real Madrid iliyowahi kuwa bora zaidi duniani

Sababu wachezaji bora Wa timu kubwa walikuwa wamejoin timu kubwa.. Usinikumbushie Juventus ya kina Vieri,Jugovic,Peruzzi, Del Piero,Ravanelli,Conte,Lombardo,Deschamps, Paulo Sousa,Di Livio,
Umemsahau Paulo Montero
 
Hata mie wa Barca nilikuwa naiogopa hii mkuu.
 

Mkuu King Ngwaba hapo pekundu ndio haswa nilikuwa namaanisha. Hapo kwa Maradona kumbukumbu zangu zinaonyesha Barcelona ndio club ya kwanza kabisa kumsajili kwa maana ya kumleta ulaya. Alikaa pale kabla ya kuuzwa Napoli. Soka lake la mwisho alilimalizia klabuni Sevilla. Ndio akarudi kwao Argentina.

I stand to b correct...
 
Maradona Mpira aliucheza Kwao Argentina Miaka ya 80s! Alipokuja Ulaya (Barcelona) Tayari Ameshakua Mbabaishaji tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…