Kuna lines humo ambazo kabisa unaona Rapcha ataambulia patupu.Rapcha anaonewa tu, sidhani hata kama anaelewa boomerang ni kitu gani.
Wanaojifanya ni wana hip hop in 2023Wapumbavu gani hao?
Dizasta ana mistari myepesi sanaDizasta kachagua kutumia silaha kubwa sana kwenye hii battle
Nadhani ndio kuua sisimizi kwa bunduki huku kama alivyosema kwenye bestfriend