Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,113
- 2,656
Naomba mfano mmoja wa mstari usio mwepesi mkuuDizasta ana mistari myepesi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba mfano mmoja wa mstari usio mwepesi mkuuDizasta ana mistari myepesi sana
Yah, watu kama nyie lazima muwepo ili dunia izunguke.Dizasta ana mistari myepesi sana
Raptcha yupo booth mda huu, ngoja tusubiri bomu lingine
ile ngoma ya dakk 11 yote tukisema tuchukue punch za uhakika hazizidi 10Dizasta ana mistari myepesi sana
Sema naelewa lazima uone hivyo kwakuwa hujaona anaechana zaidi ya dizazsta bongo...tupo sema majukumu tu na wengine tulikosa hela ya studioYah, watu kama nyie lazima muwepo ili dunia izunguke.
elezea double gan hapo?"So ama rack him, giving him a Big L,
Watching him die by my side,
While I enjoy the big sale"
Hizo double entendres zimepigwa humo ni hatari
Bomu linalokuja kutoka uko booth this time Deezer anaenda kuacha ku-rap rasmi, Raptcha anasuka kitu hatari kwa dunia huko booth mda huu
True say,ile ngoma ya dakk 11 yote tukisema tuchukue punch za uhakika hazizidi 10
Tupatie punches za Rapcha tuone. Hata moja tu.ile ngoma ya dakk 11 yote tukisema tuchukue punch za uhakika hazizidi 10
Rapcha kimistari ni mbovu kuliko Dizasta, ila hajazidiwa kiviile kama mnavokuza humu...But atleast rapcha anacompasate na style na mabiti ambayo dizasta hawezi kutembea kwayo.Tupatie punches za Rapcha tuone. Hata moja tu.
Haina maana2023 hakuna wana hip hop?
Nilichompendea DeezerStar this time amejua kuweka vina na kutembea na beat akiwa ametulia na beat kalitendea haki hajapwaya na kubwabwaja, hapo amechukua marks zangu 80% ame-punch pia baadhi ya line zimesimama, hapo ndipo nilipomuelewa na story zinaeleweka hii ametiririka vizuri tofauti na ile ya mwanzo,Yah, watu kama nyie lazima muwepo ili dunia izunguke.
Punch ni hiiPunch kwako ni kitu gani?
Unatumia croteria gani ku group line kuwa hii ni punch na hii sio?
Nilichompendea DeezerStar this time amejua kuweka vina na kutembea na beat akiwa ametulia na beat kalitendea haki hajapwaya na kubwabwaja, hapo amechukua marks zangu 80% ame-punch pia baadhi ya line zimesimama, hapo ndipo nilipomuelewa na story zinaeleweka hii ametiririka vizuri tofauti na ile ya mwanzo,
Sometimes tukiwasema wanapokosea tunawajenga, wanajirekebisha na wanaimarika zaidi, Ila mistari aikunje sasa isiwe miepesi miepesi, kunja mstari mpaka mtu aitafute dictionary ya rap kusearch ulimaanisha nini
Kuna story za ndani kwamba Raptcha anawasolola walembo DM, haijulikani kingine amemchana hana cha kuwalipa mapruduza meeen hii ngumu kuamini, kingine analelewa come on meeen, kingine daaah baaasi Raptcha eeeh achia dude mjibu huyu ntu asikuchukulie poa kiasi hicho yaan kamtaja hadi Paula kwamba ni dada yako?
Farid KubandaMwenye mistari mizito nani sasa?