Hip Hop Diss Tracks: Dizasta Vina amjibu Rapcha

Hip Hop Diss Tracks: Dizasta Vina amjibu Rapcha

Punch kwako ni kitu gani?

Unatumia croteria gani ku group line kuwa hii ni punch na hii sio?
Wordplay,metaphors,similes,double& tripple entendres.
Dizasta hana hizo yeye ana mistali mikavu yenye maana fikirishi.
sawa hata hizo by definition tutasema ni punch..Lakini ni weak punches kama za Hasbulla
 
Mimi ukiniuliza kuhusu Rapcha ku flow bila vina nakutajia verse zake

Ngoma gani au verse gani ambayo Dizasta hakutembea na vina?
Hatia III kaisikilize, vina empty na ndio ngoma niliyokua namlaumu Disasta, hajatembea na vina karap hakuna mizani hakuna vina hakuna stanza, isikilize
 
Hao madogo wasije jichanganya waka mdis Killer, watapewa za uso na kujiona matakataka tu.
Sio kwamba wanadiss diss tu wanaangalia na wakumdiss, sio kila mtu unamtupia diss, behind the scenes wapo peace tu but ni km kuchangamsha rap isipoe Ila killer akitaka na yeye apewe atapewa tu diss akiweza aanzishe kilinge watu waruke nae,
 
Kuna kilandege mmoja anakwambia simu zinaita sijui bree bree simu zinaita Sasa huo ni ujinga gani, yule dogo ana uch*ko sana
 
Muulize nay na yule dogo wa Dar es Salaam kilicho wakuta. Yule kilandege wa simu ye mwenyewe alitaka kujaribu matokeo yake akaambiwa kausha ule ni moto mwingine

Back
Top Bottom