Hip Hop Diss Tracks: Dizasta Vina amjibu Rapcha

Fid Q dot Com huyo ndio alikua Fid,
Sumu nayo iko vizuri sana mle

Ukitoka hapo unaanza kutafutiza alizofanya collabo kama ile aliyokuwa na Chindo man pamoja na wakazi afu chorus alisimama Dully

Aah mle alipoteza sana

Ila miaka ile sijui kwanini ngoma zake alizozitoa akiwa solo hazijawahi kuwa nzuri (MPOV)
 
Diss nzur sana. Sema ndefu mno.

Nipo upande wa Dizasta vina profesa tungo
 
Ndio maana amebaki na freestyle zake ata wanao mfahamu ni wachache sana
Cado Kitengo ni kwenye freestyle tu swala la uandishi ni zero kabisa

Na hiyo imekuwa kama nature kwa watu wenye uwezo mkubwa wa freestyle mara nyingi kuandika wanakuwa hawana viwango

Ni mara chache sana unaweza ukawakuta wana fit angle zote mbili kama ngwair na Langa
 
kwa hizi sifa wanazomwagiwa hawa mid rappers mpaka natamani kuingia booth
Ingia booth ushishe vitu uwanja upo wazi, bado nafasi zipo za kutosha utakalisha wote hao Ila na wewe ukituletea sio sio tunakuchana vile vile
 
Hahaha mi bongo hakuna wa kunichana labda mmkodi Eminem na J.cole
 
Ingia booth tuone acha kujipamba achia ngoma tukuone acha kujipump lines zako zitakutetea ukali wako utafahamika hivi hivi bado haujatushawishi,
 
ngoma gani ya dizasta inafkia sumu
Dizasta na Fid huwezi kuwalinganisha

Fid Q sio story teller ila kwenye majigambo nadhani wote wana share hii category

Na Dizasta amejiwekea utatatibu wake wa mfumo wa series

Yani akitoa hatia ujue hapo anaifundisha jamii kwa kuhadithia tukio ambalo kwenye movie lingeweza kuelezwa kwa masaa lakini yeye anakusimulia kwa dakika 4 na unaelewa

Japo lin nyimbo nyinginza story ameziimba bila kuziweka kwenye mpangilio wa series mfano siku mbaya

Ukija kwenye Nobody is safe hapo ni rap majigango na punchlines kuanzia nobody i-v zote kaua

Kwa nyimbo ya Sumu ukisema niifananishe na nyimbo ya Dizasta kwa haraka haraka nitasema nobody is safe

Ila kutoa rate kuwa ipi kali kuzidi nyingine hapo ndio kipengele
 
Ingia booth tuone acha kujipamba achia ngoma tukuone acha kujipump lines zako zitakutetea ukali wako utafahamika hivi hivi bado haujatushawishi,
Tatzo najiuliza nianze na gia ipi maana kila kitu naweza kuanzia storytelling,boombap zile za kila mstari ni punch , melody trap,adi Rnb, Afro rap,nk.
Ati ntokeje?
 
Wewe ingia booth kitakachokujia chora mistari achia ngoma sambaza tukusikie, acha kujishaurishauri,
 
Dizasta na Fid huwezi kuwalinganisha

Fid Q sio story teller ila kwenye majigambo nadhani wote wana share hii category

Na Dizasta amejiwekea utatatibu wake wa mfumo wa series

Yani akitoa hatia ujue hapo anaifundisha jamii kwa kuhadithia tukio ambalo kwenye movie lingeweza kuelezwa kwa masaa lakini yeye anakusimulia kwa dakika 4 na unaelewa

Japo lin nyimbo nyinginza story ameziimba bila kuziweka kwenye mpangilio wa series mfano siku mbaya

Ukija kwenye Nobody is safe hapo ni rap majigango na punchlines kuanzia nobody i-v zote kaua
Options zipo zaidi ya hizo mbili..ila Unajua kabisa hatuwez kulinganisha storytelling na hizi zingine. lets compare apples with apples.
Afu Fid Q sio kwamba zote ni majigambo
Mfano Roho huwezi kusema ni Majigambo ila sio story per se.
Kwa nyimbo ya Sumu ukisema niifananishe na nyimbo ya Dizasta kwa haraka haraka nitasema nobody is safe
Ila kutoa rate kuwa ipi kali kuzidi nyingine hapo ndio kipengele
Hapa umeamua tu kujikata kichwa.
 
Wewe ingia booth kitakachokujia chora mistari achia ngoma sambaza tukusikie, acha kujishaurishauri,
Tatzo mziki ni expensive...saivi producer wa maana anataka laki 5 kuendelea. Halafu wewe hujui utareturn vipi au lini
 
Wasanii wa Hip hop wana akili sana yaani ni ma genius kupita maelezo. Pia wale wao ielewa hip hop wako njema sana. Ila zile hip hop ngumu kama zile za Kubanda, Killer na Unju dizaini ya muziki wanao imba hao wasanii.

Achana na hawa vilandege wengine sijui Rapcha, Dizasta, Runya na wengine kama hao
Hawa wasanii wana akili...natamani watu wa kanda hii wangethamini mziki hawa jamaa wangekua na pesa ndefu....
Mistari mikali
 
Kama una amini una kitu kizuri kwann uogope, ingia uwanjani tukubonde utoke manundu.
Tatzo mziki ni expensive...saivi producer wa maana anataka laki 5 kuendelea. Halafu wewe hujui utareturn vipi au lini
 
halafu utetezi wao kila siku ni ''nasimamia nguzo''
Nigga you can do both
Rap ipo katika makundi mengi

Hata Raggae pia unafikiri kwasababu gani wewe ukisikiliza Reggae za Luck Dube na Bob Marley unaona Luck Dube anaimba vizuri lakinj ukija kwenye recognition credit anapewa Marley

Ni kwasababu kuna misingi inayofuatwa, huyo Luck Dube katioa anaonekana ni mtu aliyekuja ku violet culture ya reggae na kuifanya ionekane kama Gospel Reggae

The same kwa hao ambao mnawaita wenye melody kwenye rap
 
Kwani misingi ya rap ni ipi? kuna msingi unaosema no melodies?
Hip hop literally means Hopping on trends.
Sasa kama melody zinatrend kwanini usihop?
 
Back
Top Bottom