Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye fid Q dot com mstari uliotesa Sana Ni ule...Yes kitambo hicho baba Fid hataki mchezo na jukwaa, ana hasira na Jukwaa balaa kabla hajatoa I am Professional,
dada zako wako wakiniona mtaani utasiki Fid Q/
Fid Q dot Com Mwanza ndio home
Hit ni sayansi...Huwezi kutoa ngoma mbovu ikahitRapcha ana hit song ya Lisa kwanini hana hit song ya nyimbo zingine
Kwanini nyimbo zake zote zisiwe na hit song kama kweli kigezo cha hit song ni ubora na kuwa mainstream sana?
Hit song inaweza ikatokea hata kwa coincidence tu
Mwaka 2017 Darasa alikuwa na hitsong ya maisha na muziki ambayo ilimfunika hadi Diamond ambaye ni msanii wa mainstream kwa muda wote
Yule dada aliyeimba yerusalem unafikiri hana nyimbo zingine?
Ulifatilia Diss ya Mawenge kwa Nikki? Uliona views alizo gain kwa muda mchache tangu aachie ile diss
Kwa hiyo utasema zile numbers alibustiwa na Nikki kutokana na fame yake kwenye mainstream?
Yap maana Kuna wasanii wanashindwaga kumaliza dakika 10 tu za maangamiziNi ishara ya kuonesha kuwa hata pumzi ya ku flow lisaa limoja anayo
Ni ngumu sana dakika 11 ukaimba cha maana, hilo Dizasta amelifanya lionekane ni rahisi sana kwake
Anataka ipokelewe kwa ukubwa ule ule ambao wimbo wa msanii wake anayemkubali ulivyokuwa massiveHahahahhahaah we jamaa sijui Kama unajua unachokiongea....
Kwahiyo Dizasta Hana hit song ..
Umeiskiliza kanisa? Sister kadata, no body is safe, hatia, siku mbaya na SHAHIDI...
Kwanza n aibu Dizasta kubato na dogo Kama Raptcha ambaye hana punchline hata moja tangu aanze kuchana...
Ahaa nyie ndio wale oldhheads mnataka mtu asiwe versatile abaki kama jiwe.Pale ambapo alipoanza kuonesha nia ya kutaka kurap kuendana na soko
Raptcha kuhit na Lisa Wala sio kwamba ilikua ngoma Kali... Sasa kweli eti akapiga tako mbili akamwagia ndani ndo Nini??Anataka ipokelewe kwa ukubwa ule ule ambao wimbo wa msanii wake anayemkubali ulivyokuwa massive
Hizo ni ngoma kali ila sio hit. unajua maana ya hit?Hahahahhahaah we jamaa sijui Kama unajua unachokiongea....
Kwahiyo Dizasta Hana hit song ..
Umeiskiliza kanisa? Sister kadata, no body is safe, hatia, siku mbaya na SHAHIDI...
Kwanza n aibu Dizasta kubato na dogo Kama Raptcha ambaye hana punchline hata moja tangu aanze kuchana...
inaoneana hamjui hata maana ya mziki..basi tumsikilize sasa hata mpotoRaptcha kuhit na Lisa Wala sio kwamba ilikua ngoma Kali... Sasa kweli eti akapiga tako mbili akamwagia ndani ndo Nini??
Huyu jamaa asikilize punch kwenye ngoma ya KANISA ..
Sikuhitaji maswala ya kugawana madhehebu waumini dhaifu wanahamahama Kama wehu...
Unamjua vizuri kado au unaropoka [emoji16][emoji16]
Kwanza unatakiwa kujuaHit ni sayansi...Huwezi kutoa ngoma mbovu ikahit
inabidi utoe ngoma kali kuliko zote(kwa genre zote) kwa kipindi hiko au iwe top 5 ili iwe hit,
hizo zote ulizotaja jerusalem na muziki ni ngoma kali.
Tatzo Dizasta hajawahi kutoa ngoma ikawa kali hata top 10 kwa kipindi hiko
NB: Napoongelea ukali wa ngoma ni package yote sio mistari tu..kuanzia idea,topic,beat,style,nk.
Halafu hizi diss zinatrend kwasababu ya drama, wabongo wanapenda drama
Najua inakuuma unapokohoa mi sikohoi/Kwenye fid Q dot com mstari uliotesa Sana Ni ule...
Akikupiga ngumi ya jicho na we mpige ngumi ya sikio...
Akikuuliza unaonaje na we muulize unajisikiaje.....
Kwenye upande wa freestyle Cado Ni kisanga acha kabisa unaweza kuabika nilikuaga nahudhuria pale micasa lounge nisikilize tu michano [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]Yaani Dizasta haingii kwa Cado
Kwenye upande wa freestyle Cado Ni kisanga acha kabisa unaweza kuabika nilikuaga nahudhuria pale micasa lounge nisikilize tu michano [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]
Kuna maMC walikua wakipagwa na Cado wanatokomea mitini
Niite mc anayevuma ndevu zinawasha ka upupuNajua inakuuma unapokohoa mi sikohoi/
Unafuja nguvu kwa nyuma ku-rap wewe goigoi/
Unazuga una zangu tuma unatuma unavua kikoi/
Unaposikia upinzani hakuna unanuna unakua uinjoi/
Napakua nyimbo naingia Chimbo km Al-Qaidaaa/
Napiga fimbo kiasi tu kimtindo km kawaidaaaa/
Ayeeeeee... AyeaMidamu tu
Skuizi kwa hizi tools kama youtube,boomplay,social medias nk. ni ujinga bado kulalamikia media kuhusu figisu kupata hitsong.Kwanza unatakiwa kujua
Dizasta hajawahi kutumia nguvu ya media kupromote kazi zake
Huwa anakomaa yeye kama yeye bila support ya mtu mwingine nyuma yake.
Pengine nafasi aliyokuwa nayo Dizasta angekuwa ni Rapcha hata mtaani kwake anpotokea asingejulikana
Na hiyo nafasi ya Rapcha kwa ubora wa Dizasta angekuwa far kuliko hapo alipo Rapcha
Dizasta alikwisha kataa kuwa chini ya management ya mtu na watu wengi wamemfata lakini aliwatolea nje
Yupo mmoja akamuambia uwe unaimba commercial nitaku fund kila kitu lakini aligoma.
Swala la top 10 haliangaliwi kwa kuzingatia ubora wa nyimbo na ndio maana hata huyo Rapcha unamuona analalamika kuhusu tuzo ya Lunya kuwa ilikuwa yake ila kuna figisu zilifanyika
Sasa kama figisu zinafanyika kwenye tuzo inashindikana vipi kwenye top 10
Unajua nini kuhusu scandal za wakali wa media?
Sasa hapo hata mwenyewe ukiona nyimbo ambayo haina lyrical ipo ipo tu afu ime hitHizo ni ngoma kali ila sio hit. unajua maana ya hit?
Hizo ngoma unazijua wewe na masela zako wa ghetto na mnazikubali kinyama mkitoka kuvuta bangi
Mpaka hizo platform zikulipe au zikufanye uwe popular lazima nguvu ya media itumike au ulishajulikanaSkuizi kwa hizi tools kama youtube,boomplay,social medias nk. ni ujinga bado kulalamikia media kuhusu figisu kupata hitsong.
Tuzo ni kitu kingine...Kwanza tuzo kibongobongo hazina maana yoyote sijui hata kwanini wanazililia
Kwa mziki aina ya wake ni ngumu kwenda mainstream kwa soko la sasa.
then kwenda commercial mnasema mnadhani ni simple unaamka tu asbuhi unaamua kuanzia leo naimba commercial, hiyo nayo ni skillset...Na hiyo skill ya commercial dizasta hana,