Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Hii nayo ni misconception nyingine...Hiphop since day 1 ilianza kama mziki wa kuburudisha na ma MC wa kwanza kabisa walikuwa wanarap kwenye mabeat ya funk kwenye maparty huko bronxNature ya Hip Hop ni kuelimisha zaidi kuliko kuburudisha na ndio maana ilikuwa ikitumiwa kwenye maswala ya kiharakati za uhuru
Baadaye ndio watu wakaja na modern style ambayo humo wakaweka maswala ya burudani
walikuwa wanaomba DJ aaache sehemu biti liko wazi wanaanza kunarap vitu vya kuchekesha na kuburudisha (Huwezi kuanza kuhubiri kwenye party)
Hata ngoma ya kwanza ya rap kurekodiwa haikuwa ya kiuana harakati
Haya mambo ya harakati ndiyo yaliingia baadae baada ya harakati za uhuru,,,,Lakini hiphop has always been commercial
Hata founders wa hiphop wakifufuka saizi na kuona rap ndio new pop lazima watakuwa proud.