Hip Hop Diss Tracks: Dizasta Vina amjibu Rapcha

Hip Hop Diss Tracks: Dizasta Vina amjibu Rapcha

"No one is insane enough to battle me,

I am so scary I'll wear my own mask for halloween."


Ukifikiri between lines, utaona uwezo mkubwa wa kufikiri hapa. Uwezo ambao hata Rapcha wakiwa watatu hawawezi kuufikia.

A boogeyman that needs a boogeyman's mask for Halloween, huh?
 
Wordplay,metaphors,similes,double& tripple entendres.
Dizasta hana hizo yeye ana mistali mikavu yenye maana fikirishi.
sawa hata hizo by definition tutasema ni punch..Lakini ni weak punches kama za Hasbulla
Basi huwa humuelewi jamaa. Kuna mtu anacheza na maneno na lines zake zimejaa double entendres kama Dizasta?
 
halo ni nini?
Tuite taji la moto. Unaonaga Yesu anachorwa na kama jua limemzunguka kichwani, ile ndiyo halo. Anamwambia Cosmas kuwa taji la storytelling analo yeye.

jesus-mosaic-3965538.jpg
 
Sio kwamba wanadiss diss tu wanaangalia na wakumdiss, sio kila mtu unamtupia diss, behind the scenes wapo peace tu but ni km kuchangamsha rap isipoe Ila killer akitaka na yeye apewe atapewa tu diss akiweza aanzishe kilinge watu waruke nae,
"Kuna mistari Vina anasema, "Dogo killer ukifuata hii umebip kifo."
 
Hii nayo ni misconception nyingine...Hiphop since day 1 ilianza kama mziki wa kuburudisha na ma MC wa kwanza kabisa walikuwa wanarap kwenye mabeat ya funk kwenye maparty huko bronx
walikuwa wanaomba DJ aaache sehemu biti liko wazi wanaanza kunarap vitu vya kuchekesha na kuburudisha (Huwezi kuanza kuhubiri kwenye party)
Hata ngoma ya kwanza ya rap kurekodiwa haikuwa ya kiuana harakati

Haya mambo ya harakati ndiyo yaliingia baadae baada ya harakati za uhuru,,,,Lakini hiphop has always been commercial

Hata founders wa hiphop wakifufuka saizi na kuona rap ndio new pop lazima watakuwa proud.
Mkuu hip hop msingi wake ni kuelimisha na sio kuburudisha,jipe muda upitie historia ya hip hop tokea caribean mashambani huko enzi hizo jipe muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What the fu.ck is this guys?. I mean how can Dizasta waste 11 minutes kumdisi Rapcha. Rapcha, who is nobody in Hip Hop industry.
Ameamua tu kumkanya mtoto,japo masikitiko ni kwamba rapcha kuna punc nyingi sana kwenye hii ngoma hatozielewa.basi atakuja kujisifia kuwa yuko mainstream na anatesa na madem na anafahamika na yo yoo kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By the way Dizasta could've minimized his diss track song to four or five minutes and perhaps he is supposing not to waste his energy again, If Rapcha will manage to diss him back kwasababu sio saizi yake.
 
Yuko sawa, huo mstari ni double entendre.
Ndio nami jamaa kanichanganya, au hajui maana ya double entendre..Rakim ni rapper anaesifiwa kwa rhymes kali na za kuelemisha, na AKA maarufu tangu miaka hiyo ya Rakim in GOD MC..nje ya mada,hivi kuna rapper US mwenye punchlines kumzidi Big L???
 
Back
Top Bottom