Hip Hop Diss Tracks: Dizasta Vina amjibu Rapcha

Mkuu hip hop msingi wake ni kuelimisha na sio kuburudisha,jipe muda upitie historia ya hip hop tokea caribean mashambani huko enzi hizo jipe muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe umekuja na mpya, hiphop imeanzia caribean mashambani? sio US tena?
Nitajie ngoma ya kwanza ya hiphop kurekodiwa
 
Hit ni sayansi...Huwezi kutoa ngoma mbovu ikahit
inabidi utoe ngoma kali kuliko zote(kwa genre zote) kwa kipindi hiko au iwe top 5 ili iwe hit,
hizo zote ulizotaja jerusalem na muziki ni ngoma kali.
Tatzo Dizasta hajawahi kutoa ngoma ikawa kali hata top 10 kwa kipindi hiko
NB: Napoongelea ukali wa ngoma ni package yote sio mistari tu..kuanzia idea,topic,beat,style,nk.

Halafu hizi diss zinatrend kwasababu ya drama, wabongo wanapenda drama
Umeandika ukweli..mkumbushe wimbo wa ukisikia PA wa JCB..
Roho Saba alitoa Nakupenda hip-hop.. stopa the rhymes Maker..alitoa style tatu..
 
ngoma ya kwanza ya kiharakati imetoka mwaka gani na inaitwaje?
Kama unafatilia vizuri utaona Hip Hop ni mziki uliokuwa unafanywa uswahilini kwa wahuni miaka ya mwishoni mwa 1960 lakini ukifatilia wimbo wa kwanza utaona ulitolewa 1979, so jiulize mwenyewe back to 1978-1960 mwishoni Hip Hop ilikuwa inafanywa vipi?
 
Umerudisha nyuma magoli tena, wewe si ndo ulisema ilianza miaka ya 70,saivi imekuwa 60 tena.
Mwanzoni mwa 1970 ndio mwaka ambao Hip Hop ilivuma kufatia hatua ya ukosoaji wa mambo negative katika serikali na siasa kiujumla
Anyways...ingekuwa ilikuwa mainly mziki wa harakati, basi ngoma ya kwanza kurekodiwa si ingekuwa ya kiharakati au?
 
Umerudisha nyuma magoli tena, wewe si ndo ulisema ilianza miaka ya 70,saivi imekuwa 60 tena.

Anyways...ingekuwa ilikuwa mainly mziki wa harakati, basi ngoma ya kwanza kurekodiwa si ingekuwa ya kiharakati au?
Hip Hop ina Historia kubwa sana, na kile ambacho kinawekwa kama data huwa kinawekwa kuzingatia tukio au jambo lililofanyika kwa wakati huo.

Hip Hop kwa mara ya kwanza ilianzishwa miaka ya 1960 lakini haikuweza kusikika mpaka miaka ya 1970 ambapo ndio ikaja kubatizwa kuwa mziki rasmi

Ndio maana ukiangalia Delight ilitolewa september 1979 halafu ukicheki birthday date ya Hip Hop ni 1973. Sasa unaweza jiulize mwenyewe ina maana tangu 1973 hakukuwa na wimbo wowote wa Hip Hop mpaka ilipopita miaka almost 7?

Ngoma ya kwanza ipi sasa?
 
Bronx, New York, 1970s

SugarHill Gang - Rappers Delight
1979
 
Bronx, New York, 1970s

SugarHill Gang - Rappers Delight
1979
1674026597874.png
 
Hip Hop ina Historia kubwa sana, na kile ambacho kinawekwa kama data huwa kinawekwa kuzingatia tukio au jambo lililofanyika kwa wakati huo.

Hip Hop kwa mara ya kwanza ilianzishwa miaka ya 1960 lakini haikuweza kusikika mpaka miaka ya 1970 ambapo ndio ikaja kubatizwa kuwa mziki rasmi

Ndio maana ukiangalia Delight ilitolewa september 1979 halafu ukicheki birthday date ya Hip Hop ni 1973. Sasa unaweza jiulize mwenyewe ina maana tangu 1973 hakukuwa na wimbo wowote wa Hip Hop mpaka ilipopita miaka almost 7?

Ngoma ya kwanza ipi sasa?
Ngoma ya mwanzo kabisa ni miaka ya 1960,s kuna jamaa walikua wanatoa calpiso hip pop kabla ya hip pop funky&disco!!!Nikipata details nitakupatia
 
wewe umekuja na mpya, hiphop imeanzia caribean mashambani? sio US tena?
Nitajie ngoma ya kwanza ya hiphop kurekodiwa
Yupo sahii calpso za mwanzo huko mashambani kwa watumwa Caribbean ndizo zimezaa urban hip pop miaka ya 1960,s na 1970,s huko USA
 
Sasa unaweza jiulize mwenyewe ina maana tangu 1973 hakukuwa na wimbo wowote wa Hip Hop mpaka ilipopita miaka almost 7?

Ngoma ya kwanza ipi sasa?
Utaje huo wimbo, kwanini tuandikie mate?
Mimi nasema hakukuwa na mwimbo ilikuwa ni ile utamaduni wa maMC kuvamia party kumwambia DJ aachie sehemu ya biti la funk lisilo na vocal anaanza kuchana juu ya mabiti kama freestyle, kurekodi ndio wakaanza kurekodi hiyo 79
Wewe unayesema mimbo ilikuwepo before itaje.
 
Ngoja niwasidie kitu wadogo zangu msibishane!!!!Miaka ya 1960,s ilikua hivi Dj anapiga beat watu wanafree style na zipo rekodi za free style juct for funy and brotherhood identiy for blocks ila kurekodi nyimbo studio kiutaalamu kama serious business kulianzia miaka ya 1970,s!!!
 
Back
Top Bottom