Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Art is as potent as its audience.Sasa hapo hata mwenyewe ukiona nyimbo ambayo haina lyrical ipo ipo tu afu ime hit
Wakati huo kuna mkwaju mkali unakila vigezo lakini hausikiki u afikiri doubt yako itakuwa kwenye kitu gani
Hapo si lazima u question fikra za hao watu wanaopapalika na nyimbo mbovu wakati kuna ngoma kali za kueleweka zipo na hawazipi time
Kazi kuu ya mziki ni kuburudisha, sasa ukiona ngoma yako haihit na ina mistari mikali ujue haiburudishi
sawa mpo nyie mnaoburudika na mistari, ila ni wachache
Artist akiona ngoma yake haihit asilaumu wasikilizaji,inabidi astudy kwanzaa market then awape wanachotaka waburudike.
Afu sio kwamba watu hawapendi mistari mikali, wanapenda ndio,ila kuna vitu vya ziada zaidi ya apo wanataka.....dizasta inabidi acheze na wote yani ngoma inaburudisha na iwe na mistari mikali.