Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Go find details mdogo wangu!!!Sorry umezaliwa 70,s or 80,s!!!!!!Kama ni kuanzia miaka ya 90,s huwezi kunielewa!!!!You can't prove it through jamii forum mdogo wanguOkay, prove it.
Freestyle zilianza kusikika na kufanyika maeneo gani? Mashuleni, kanisani, Kwenye mikutano ya hadhara, kwenye sherehe au kwenye maparty na maclub??Wanapigia wapi kwa maana ipi?
Hii sasa ndo ile mtu anasema kuna kunguru mweupe, ukimuuliza anasema hawezi kuonesha hapa jf ila source ni 'trust me bro'Go find details mdogo wangu!!!Sorry umezaliwa 70,s or 80,s!!!!!!Kama ni kuanzia miaka ya 90,s huwezi kunielewa!!!!You can't prove it through jamii forum mdogo wangu
Tafuta source mdogo wangu!!!Usitegemee uletewe kila kitu hapa jamii forum au safiri kidogo uende USA utapanuka zaidi kimaarifa kuhusu hip popHii sasa ndo ile mtu anasema kuna kunguru mweupe, ukimuuliza anasema hawezi kuonesha hapa jf ila source ni 'trust me bro'
Mtafute chief ramso wa kwanza unit au sebastian maganga atakujibu maswali yako yote mdogo wanguFreestyle zilianza kusikika na kufanyika maeneo gani? Mashuleni, kanisani, Kwenye mikutano ya hadhara, kwenye sherehe au kwenye maparty na maclub??
😁😁😁😁😁 Nimecheka kwa sautiSasa kama mcheza mpira halafu hujui lolote kuhusu Ronaldo na messi utajuaje "kukevu"??jifunze kwa walio mbele yako...
Nimeongopa???😁😁😁😁😁 Nimecheka kwa sauti
Hahahahahaha hii reply yako sikuiona ila kiukweli Mkuu nimecheka sana inaonekana mziki umekupita mbali sanaMoja
Mbili
Tatu
Nne
Nikichambua hadi mwisho na ukisikiliza sivyo km ulivyoandika, hakuna vina na ameenda nje ya beat pia, kwenye ukweli sema ukweli na mrekebishe mtu sio kila kitu unasifia tu akibolonga mchane pia ili akae kwenye mstari
Mimi niliona hiyo comment yake kisha nikaangalia na michango yake ya hip hop hapa nikabaki tu nashangaa maana ukiangalia vile anaongelea hip hop ni wazi unaona huyu anaijuaHahahahahaha hii reply yako sikuiona ila kiukweli Mkuu nimecheka sana inaonekana mziki umekupita mbali sana
Ngoja nikupe ufafanuzi hapa kidogo, sehemu ambayo ina kina nitaiwekea italic na kui color kwa red
"Na kufata siasa...ambayo inakulaza na njaa.../" hii ni verse ya mwisho ambayo ilikuwa inakamilisha kina. Kwa hiyo ukitaka kujua kama line ina kina unapaswa kuangalia line ya nyuma yake ambayo ilikuwa ni hii "Na ubaya ni kwamba...umeanza kuikacha sanaa..."
Ukamilisho wa verse ulikuwa upo hivi
"Na ubaya ni kwamba...umeanza kuikacha sanaa...
Na kufata siasa...ambayo inakulaza na njaa..."
Hayo maneno niliyo ya italic na kuyawekea rangi ya blue ndio vina vyenyewe hivyo
"Zamani...ulikuwa una sembe ya kusaza...
Uliabudu kazi...ukaliweka jembe kwenye shamba..."
"Unalala ndani...kungoja hisani ya wenye nguvu...
Nyumba iko wazi..wewe uko ibadani unaabudu...
Unavamia diplomasia..unatunga hotuba...
Na hakuna mwenye hisia...kuwa upo nyuma ya muda..
Yani mwenyewe nimeshangaa sana kwakweliMimi niliona hiyo comment yake kisha nikaangalia na michango yake ya hip hop hapa nikabaki tu nashangaa maana ukiangalia vile anaongelea hip hop ni wazi unaona huyu anaijua
Sasa alipokuja kuandika hiyo comment nikabaki nasema Hiiiiiiiiiiiii...! Nika conclude kuwa tulikuwa tunabishana na mtu anaefatilia hip hop kwa msaada wa google
Niwe mkweli baada ya hiyo comment yake nikampuuza mshkaji, pamoja na Heshima niliyokuwa nampa kutokana na michango yake kwenye nyuzi za hip hop, That was very too low for him...!
Una energy nyingi sana ya kuelimisha watu wagumu kuelewa,hongera sana mimi HAPANAHahahahahaha hii reply yako sikuiona ila kiukweli Mkuu nimecheka sana inaonekana mziki umekupita mbali sana
Ngoja nikupe ufafanuzi hapa kidogo, sehemu ambayo ina kina nitaiwekea italic na kui color kwa red
"Na kufata siasa...ambayo inakulaza na njaa.../" hii ni verse ya mwisho ambayo ilikuwa inakamilisha kina. Kwa hiyo ukitaka kujua kama line ina kina unapaswa kuangalia line ya nyuma yake ambayo ilikuwa ni hii "Na ubaya ni kwamba...umeanza kuikacha sanaa..."
Ukamilisho wa verse ulikuwa upo hivi
"Na ubaya ni kwamba...umeanza kuikacha sanaa...
Na kufata siasa...ambayo inakulaza na njaa..."
Hayo maneno niliyo ya italic na kuyawekea rangi nyekundu ndio vina vyenyewe hivyo
"Zamani...ulikuwa una sembe ya kusaza...
Uliabudu kazi...ukaliweka jembe kwenye shamba..."
"Unalala ndani...kungoja hisani ya wenye nguvu...
Nyumba iko wazi..wewe uko ibadani unaabudu...
Unavamia diplomasia..unatunga hotuba...
Na hakuna mwenye hisia...kuwa upo nyuma ya muda..
Wakati najifunza kugonga beats nilinunua sound kits za polo da Don usd 70,nilisumbua sanaRich Boy ft Polo Da Don - Throw Some D's
Nasikiliza hilo beat mda huu
02:35
Mkuu kama hutojali embu tuekee clip yoyote ile langa akifanya freestyle...sijawahi kujua hii.Cado Kitengo ni kwenye freestyle tu swala la uandishi ni zero kabisa
Na hiyo imekuwa kama nature kwa watu wenye uwezo mkubwa wa freestyle mara nyingi kuandika wanakuwa hawana viwango
Ni mara chache sana unaweza ukawakuta wana fit angle zote mbili kama ngwair na Langa