Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo list namashaka nayo... Eminem juu ya Nas na Notorious na huyo jigga kaingiaje top 5.kwa Tupac wapo sahihi kabisa.Mambo vipi wakuu, hip hop ni fans and not otherwise.......sisi mashabiki ndo tunakubali nani ni best Vs worst MC
pita pita zangu katika net nimekutana na hii page ambayo washabiki ndo tuna choose who is the best
The Greatest Rappers of All Time
View attachment 343203
Album ya kwanza ya AY kama solo ilitoka mwaka 2003 ikiwa na classics kama Raha tu, Machoni kama watu na Safi hiyoo.
siwezi kushangaa kutoona uwepo wa 2pac coz 2pac ni wa-kipekee,sayari ya pekee hapo hakuna wa kumlinganisha na 2pac labda kwa mbali sana rakim anafuataAccording to billboard awa ndio mcs wakali kuwai kutokea duniani
1. BIG POPA
2. Jay Z
3. Eminem
4. Rakim Allah
5. Nas
6. Andre 3000
7. Lauryn Hill
8. GhostFace Killa
9. Kendrick Lamar
10. Lil Wayne
Simwelewi kabisa huyu jamaa.![]()
Nash MC aka Zuzu ndio rapa wa sasa anaetumia kiswahili fasaha zaidi kwenye tungo zake.
Songalaeli Joseph Mwagala aka Songa ni rapper kutoka Singida ambaye yupo chini ya label ya Tamaduni Muzik. Anaunda pia kundi liitwalo Miraba Minne akiwa na wenzake P The MC, Nash MC na Zaiid. Songa ni miongoni mwa rappers wapya Tanzania wanaofanya vizuri sana.
Amesimama kwenye misingi yake ya Hiphop tangia day one, naweza sema ni moja ya ma-mc wakali kabisa kutokea kizazi cha sasa.
![]()
Tazama video niliyounganisha uelewe kipaji chake.
Illimatic ndo album bora kabisa ya hip hop ya miaka yote.
![]()
Rapa bora kabisa LANGA alikuwa na biff kubwa kati yake na J Moe. Chanzo cha biff lao ni J Moe kumchana kwenye wimbo wake wa Jipange kuwa anatumia madawa ya kulevya...
J Moe '' amani kwa kaka voda milionea waambie wadogo zako waache poda wale mmea"
Langa kwenye wimbo wa 'Gangstaa' akajibu "amani kwa kaka voda milionea mwambie mo aache ushoga na umbea"
Baada ya Langa kujitangaza kaacha kula unga alitaka kufanya wimbo na J Moe ila Moe akakataa, ila aliachia huo wimbo huku akirejea ule mstari kwa kusema " amani kwa kaka voda milionea mwambie Moe nimeacha poda sili mmea"
Licha ya kupambana na kuacha madawa ila alidanja kwa overdose.
wimbo bora kabisa toka kwa Langa kwa upande wangu ni Kifo, Jela Au Tahasisi huu hapa
Classic ni synonimous kiongozi.... Hapa nilimaanisha wimbo mkubwa kwa wakati wote.
Influence yake kwenye jamii, rotation yake na coverage yake.
Nuff saidAlbum bora ya hip hop - Funga kazi (sina uhakika kama ndio iliitwa hivyo) ya Hard Blasters Crew. Ina all time relevant issues. Rushwa, ubadhirifu, Upendeleo, mapenzi, siasa, masuala ya kijamii, etc etc.
Msanii bora wa hip hop wa muda wote - Prof Jay. Album yake ya kwanza ndio ili-transform game yote. + he's got more classics than any other rapper, chemsha bongo, Bongo Daresalaam, etc.
Wimbo bora wa hip hop - Chemsha bongo. Forever a classic.
Kwa mtazamo wangu.
RassKass nae ana flow ya hatari.Bila kuwasahau ghostface killer, capadona, gza, rza ndani ya wutang clan, az, infamous mobb deep, fu-schinikens,
Lakini pia c.l smooth na Pete Rock. Eric sermon, perish smith wa kundi la epmd.
Hata hivyo sitawasahau west coast rappers kama b-legit, rappin4tay, MC eight, e40, kurupt, daz dilinger, coolio, dramacydle, spice 1, Rufus black, the outlawz, 8ball, mjg,
Sent from my XT1080 using JamiiForums mobile app
[QUOTE"NEW NOEL, post: 15268215, member: 44297"]Kwanini uamini Billboard?
Wewe unaamini hiyo list imekamilika?
Kwanini infuential rapper kama 2PAC hawajamweka?
Kwanza hiyo list inaonekana ipo biased sana.
Nilitegemea mtu kama 2pac awepo,nilitegemea NWA wawepo.
Kwa sababu mimi ninaamini kuwa mc mkali lazima uwe CHANGE AGENT. Sasa kwa mtu kama Kendric Lamar ambaye hana hata miaka 5 kwenye peak ya muziki huu unakuja kusema ni mc mkali?
Sikatai kuwa Kendric ni mkali lakini hiyo ya kusema mcs wakali kuwahi kutokea duniani.