Hip hop Facts Thread

Hip hop Facts Thread

Kwangu mimi Nas ni bora zaidi kuliko Jay Z, nina sababu moja strong, Jay Z sikuzote anaimba kuhusu ufalme, utajiri, magari makali, nyumba nzuri, ushetani( illuminati), madem wakali, kujirusha na mengine ya kifahari, Wakati nikimsikiliza Nas nakuta story telling, harakati, habari za mtaani,....... Hapa sina budi kumpenda Nas zaidi. Sikiliza nyimbo ya Nas inaitwa One love.
safi umefunga topic........
 
List yangu ya wakali Wa hip hop Wa mda wrote
1.tupac
2.Eminem
3.jay z
4.big poppa
5.snoop
6.Scarface
7.nas
8.lil Wayne
9.jay rock
10.50 cent
Duh Jay rock and 50 cent so where is Kanye
 
Sema Eminem hana kitu ..ni uzungu tu unambeba kama kina Iggy azaelia eti nao wanalinganishwa ni Nicki minaj...hata cardi b angekua pure black asingetrend hivo
 
Sema Eminem hana kitu ..ni uzungu tu unambeba kama kina Iggy azaelia eti nao wanalinganishwa ni Nicki minaj...hata cardi b angekua pure black asingetrend hivo
Haina ubishi kwa upande wa Iggy Ila kwa Em🤨
 
Haina ubishi kwa upande wa Iggy Ila kwa Em[emoji2955]
Kwanini umesupport kwa Iggy?? Kwasababu Iggy amekuja wewe umeshakua na umepata utambuzi Wa ngano na chuya lakini kwa watoto Wa saivi hawaelewi propaganda na watakuambia Iggy mkal kuliko Nicki..so naww kipind Em anakuzwa ulikuwa mdogo kuzijua propaganda kipindi kile wanamlinganisha na jayz na Wayne when in reality alikuwa hana kitu kwao.
 
😂😂😂unaongea kana kwamba unaujua umri wangu yaani...basi sawa mkuu
 
Kwangu mimi Nas ni bora zaidi kuliko Jay Z, nina sababu moja strong, Jay Z sikuzote anaimba kuhusu ufalme, utajiri, magari makali, nyumba nzuri, ushetani( illuminati), madem wakali, kujirusha na mengine ya kifahari, Wakati nikimsikiliza Nas nakuta story telling, harakati, habari za mtaani,....... Hapa sina budi kumpenda Nas zaidi. Sikiliza nyimbo ya Nas inaitwa One love.
Real Hiphop ni nini? Wakuu msanii lazima awe na perception na vision yake kisha aanze kutupa burudani na elimu huku akimaliza na biashara katika angle hiyo ya aliyoamua.Jay Z sio msanii wa kawaida ukijipa muda kumsikiliza.Zamani nilikuwa sikubali kabisa kuhusu Jay Z wakati huo ngeli ilikuwa inanipiga ngwara na sikuwa na devices za kufatilia vizuri.
Reasonable Doubt.....Jay Z first album humu Jay Z kaeleza sana harakati za mtaani,mapambano yake na anapotaka kwenda(financial freedom/ingawa mwamba aliingia katika game akiwa na hela nzuri tu kama umefatilia walichokuwa wanafanya wakina Karim Burke "Biggs"na connections zake, wakishirikiana na Damon Dash na Jay Z kujenga Roc A Fella.😃Wakati huo Nas alishaachia mangoma kina Puff Daddy(Diddy) washkaji zake akifanya vizuri lakini katika suala la perception au vision hakuwa rahisi kuelewa Nas anataka nini au anaenda wapi.
Hapo katikati kuna album nyingine za Jay kama ile yenye nyimbo kama Hard Knock Life,Anything e.t.c(Hapa naona mtazamo na maono ya Jay Z ni kufanya harakati n.k kama Nas na wengine wa wakati huo,huku wakii enjoy freedom.
Jay Z anaikomaza perception na vision yake anapoanza kutoa Blue Prints Album hapa mwamba alishakuwa updated kabisa,anaiona dunia kwa jicho jinginee(mpaka watu wanahisi kala cheo sijui Freemason😂😂).Katika Blue Print 3, Jay Z alishakaa sana Def Jam kama Rais kaishafahamu biashara katika scale kubwa inafanyikaje,Jay Z anajinunua/anajikomboa baada ya kutambua kaandaa mzigo mkali anawalipa Def Jam(ana take risk) pesa ya album anayodaiwa katika mkataba,na anaipoteza album,anarudi def jam ana hiyari kuinunua tena huku akihofu inaweza kuvuja,at the end ndiyo inampa mpaka single moja ambayo imeuza nakala nyingi kuliko nyimbo zote za Jay nadhani mpaka sasa "Empire State Of Mind"...
Jay Z &Kanye West ....Watch The Throne: Humu Jay Z unamskia kaiva hadi anakaribia kuungulia katika yale anayoyaamini na kuyapigania, na ndio maana Kanye alitarajia Watch The Throne 2, kuna nyimbo mbili za Jay Z alitarajia zitaingia humo lakini Jay Z akiwa katika State nyingine of mind anaziingiza katika Magna Carta Holy Grail(Bado ni issue za financial freedom & Ownership)
 
13 Feb 2020
Mex Cortez - Yes Bana (Freestyle)

latest song "Yes Bana" Instagram: mex.tz Facebook: Mex Cortez Twitter: mex_tz
Source : Mex Cortez
 
[emoji91]HOT CLUB BANGERS VOL 1 - By Dj Times9
Screenshot_20210201-183307.jpg
 
Back
Top Bottom