Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,039
- 11,822
safi umefunga topic........Kwangu mimi Nas ni bora zaidi kuliko Jay Z, nina sababu moja strong, Jay Z sikuzote anaimba kuhusu ufalme, utajiri, magari makali, nyumba nzuri, ushetani( illuminati), madem wakali, kujirusha na mengine ya kifahari, Wakati nikimsikiliza Nas nakuta story telling, harakati, habari za mtaani,....... Hapa sina budi kumpenda Nas zaidi. Sikiliza nyimbo ya Nas inaitwa One love.