Hip-hop freestyle battle : special thread

Hip-hop freestyle battle : special thread

Nyie wote hamjui... Hizo sio free style...

Ngoja niwaoneshe mfano: Twende:

Padri Mcharo napasuka, akili imesha charuka
JF members nawapaka, ila sivuki mipaka
Nimesikia Dan Cooper , mkali wa kuchanika
Verse yake kaandika, mbona ni ya kipompa

Kwanza katumia ngeli, ngumu sijaelewa
Mara "bitch" mara "neil" jombaa hivi umelewa?
Haya Daby nae kaja, kwa madudu yaleyale
Naona anabwabwaja, kiswa-nglish cha Tandale

robione ajiuliza, hivi huyu si Mtumishi
mbona analeta swaga kama za nikki mbishi
wengi hamjajua, na hii itawasumbua
kabla sijawa Padri nimeishi na makamua (wakali kwanzaaa)


 
Mic check one two
tunajaribu one two one

Yeahh Yeahh one two.
 
Naspit shit Ka nimekunywa maji ya chooni...//
Wack utadrop mic kwa hizi punch za kijini..//

Nawafanya mshituke...//
Andikieni mate, mi nitaandikia matope...//



Sipo kwenye moody kabisa..
 
Wamempa kesi manji wamempaka kinyesi,kama watumiaji wana kesi wapi tid chid Benz na ray c,acheni magumashi siasa zilizojaa visas
 
Asiehusika na hip-hop ashuke.[emoji63][emoji63][emoji63]
 
Nigga ubongo wazi kama ndogo ya Amber,

Natema mistari kazi kwa freestyle nna shamba,

Mistari yako shit nenda kacheze charanga,

Murdered lotta niggaz usinifate utachana msamba
 
Back
Top Bottom