Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Ina maana uzi una saa 11 uko hewani hauna hata repley hata moja au member niwa juzi juzi hawaijui maadaKuna hili pini la Stamina la zamani sana wakati yupo kwenye harakati zake za kutoboa zaidi.
Stamina ft Godzilla(r.i.p),Izzo B___Punch after punch. Imepikwa kwa Mesen pale...
Mi naomba kama kuna mtu anaweza kunipa lyrics kile ambacho anaimba Godzilla atakuwa kanisaidia sana..
Zizi kaflow kimarekani saana, Ambaye anajua tafadhali..
#Forgive me.
Aisee[emoji3]Ina maana uzi una saa 11 uko hewani hauna hata repley hata moja au member niwa juzi juzi hawaijui maada
Kumbe wewe ndio tatzoAisee[emoji3]