Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Kuna hili pini la Stamina la zamani sana wakati yupo kwenye harakati zake za kutoboa zaidi.
Stamina ft Godzilla(r.i.p),Izzo B___Punch after punch. Imepikwa kwa Mesen pale...
Mi naomba kama kuna mtu anaweza kunipa lyrics kile ambacho anaimba Godzilla atakuwa kanisaidia sana..
Zizi kaflow kimarekani saana, Ambaye anajua tafadhali..
#Forgive me.