HIP HOP

HIP HOP

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
Kuna hili pini la Stamina la zamani sana wakati yupo kwenye harakati zake za kutoboa zaidi.

Stamina ft Godzilla(r.i.p),Izzo B___Punch after punch. Imepikwa kwa Mesen pale...

Mi naomba kama kuna mtu anaweza kunipa lyrics kile ambacho anaimba Godzilla atakuwa kanisaidia sana..

Zizi kaflow kimarekani saana, Ambaye anajua tafadhali..

#Forgive me.
 
Ina maana uzi una saa 11 uko hewani hauna hata repley hata moja au member niwa juzi juzi hawaijui maada
 
Back
Top Bottom