Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Sahihisha mkuu lipuli nayo ni.sareRwandamila mbona mzuri tu.
Tangu ligi ianze Yanga fc, wamecheza mechi nne.
Mechi mbili wameshinda vs Njombe na Lipuli
Mechi mbili wametoa sare vs Majimaji na Mtibwa.
Au inatakiwa Yanga washinde mechi zote...!
Kumbukeni timu zote zimejiandaa vizuri nazo pia zinahitaji ushindi.
Ni kweli mkuu, Yanga imeshinda mechi mbili, dhidi ya Njombe Mji na Ndanda fc.Sahihisha mkuu lipuli nayo ni.sare
Yani mkuu we acha tu aise.Kwa mwendo huu tunaokwenda nao hata zikifika 20 tutashukuru sana
Mapengo ya hao watu (Niyonzima na Msuva)hakuna .Yaani mpaka nimemkumbuka Hans Van De Plujm
Pia,
Pengo la Msuva..Niyonzima linaonekana...
Kwani Lwandamina tumeanza kuwa naye tangu lini?Rwandamila mbona mzuri tu.
Tangu ligi ianze Yanga fc, wamecheza mechi nne.
Mechi mbili wameshinda vs Njombe na Lipuli
Mechi mbili wametoa sare vs Majimaji na Mtibwa.
Au inatakiwa Yanga washinde mechi zote...!
Kumbukeni timu zote zimejiandaa vizuri nazo pia zinahitaji ushindi.
Akili hauna wewe.We jamaa una chuki na Lwandamina tu mana mda mwingi unaandika thread za kumponda. Team inacheza vizuri tu tatizo ufungaji ndo tatizo na ilo ni suala la washambuliaji sio la kocha.
Kama leo Buswita kakosa yeye na goli badala apige juu anapiga chini, Ngoma nae anapiga kichwa uku anafumba macho apo utamlaumu Kocha?
Ila kumbuka Lwandamina tumekuwa naye tangu mwaka jana mzunguko was kwanza kipindi ambacho Manji hakuwa na maswahibu yoyote yale.Ni kweli mkuu, Yanga imeshinda mechi mbili, dhidi ya Njombe Mji na Ndanda fc.
Imetoka sare mechi tatu, na Lipuli, Majimaji na Mtibwa.
Kweli kama bingwa mtetezi huu sio mwanzo mzuri.
Mi naona tatizo ni kuukosa udhamini wa Manji na sio kocha Lwandamila
Mpira Pesa.