Hirizi ya Lwandamina yaonekana mwenyewe akanusha!!

Hirizi ya Lwandamina yaonekana mwenyewe akanusha!!

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Hivi viongozi wa Yanga wana nini cha ziada wanachokihitaji kutoka kwa huyu jamaa???

Haiwezekani mtu tangu akabidhiwe timu hakuna siku hata moja timu ikafanya vizuri ,kila kukicha afadhali ya jana.

Inabidi viongozi waingilie kati suala hili ,wachukue uamuzi mgumu wa kuvunja mkataba naye tu maana hakuna namna tumechoka kumvumilia.

Yaani ushindi kwetu imekuwa suala la bahati sana na hata ukifuatilia magoli yote tulioshinda mpaka sasa kwa mechi chache tulizocheza ni magoli ya kubahatisha sana.

Mashabiki tumechoka kwa kweli mtatuuua siku si zetu .

[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Ubingwa msahau tu msimu huu kwa kikosi mkipata magoli 40 mshukuru
 
Rwandamila mbona mzuri tu.
Tangu ligi ianze Yanga fc, wamecheza mechi nne.
Mechi mbili wameshinda vs Njombe na Lipuli
Mechi mbili wametoa sare vs Majimaji na Mtibwa.
Au inatakiwa Yanga washinde mechi zote...!
Kumbukeni timu zote zimejiandaa vizuri nazo pia zinahitaji ushindi.
 
Mkuuu naona mmeamua kulima magugu na kufuga Vyura pale jagwani
 
Rwandamila mbona mzuri tu.
Tangu ligi ianze Yanga fc, wamecheza mechi nne.
Mechi mbili wameshinda vs Njombe na Lipuli
Mechi mbili wametoa sare vs Majimaji na Mtibwa.
Au inatakiwa Yanga washinde mechi zote...!
Kumbukeni timu zote zimejiandaa vizuri nazo pia zinahitaji ushindi.
Sahihisha mkuu lipuli nayo ni.sare
 
We jamaa una chuki na Lwandamina tu mana mda mwingi unaandika thread za kumponda. Team inacheza vizuri tu tatizo ufungaji ndo tatizo na ilo ni suala la washambuliaji sio la kocha.
Kama leo Buswita kakosa yeye na goli badala apige juu anapiga chini, Ngoma nae anapiga kichwa uku anafumba macho apo utamlaumu Kocha?
 
We jamaa una chuki na Lwandamina tu mana mda mwingi unaandika thread za kumponda. Team inacheza vizuri tu tatizo ufungaji ndo tatizo na ilo ni suala la washambuliaji sio la kocha.
Kama leo Buswita kakosa yeye na goli badala apige juu anapiga chini, Ngoma nae anapiga kichwa uku anafumba macho apo utamlaumu Kocha? Ibrahim Ajib kajitahidi sana kutoa assist lakini wapi.
 
Rwandamila mbona mzuri tu.
Tangu ligi ianze Yanga fc, wamecheza mechi nne.
Mechi mbili wameshinda vs Njombe na Lipuli
Mechi mbili wametoa sare vs Majimaji na Mtibwa.
Au inatakiwa Yanga washinde mechi zote...!
Kumbukeni timu zote zimejiandaa vizuri nazo pia zinahitaji ushindi.
Kwani Lwandamina tumeanza kuwa naye tangu lini?

Si tulikuwa naye tangu raundi ya kwanza mwishoni msimu uliopita mpaka au umeshasahau mkuu.

Je tangu akabidhiwe timu kitu gani cha maana amekifanya?
 
We jamaa una chuki na Lwandamina tu mana mda mwingi unaandika thread za kumponda. Team inacheza vizuri tu tatizo ufungaji ndo tatizo na ilo ni suala la washambuliaji sio la kocha.
Kama leo Buswita kakosa yeye na goli badala apige juu anapiga chini, Ngoma nae anapiga kichwa uku anafumba macho apo utamlaumu Kocha?
Akili hauna wewe.

Hivi unajua kilichomtoa Pluijm Yanga?
 
Ni kweli mkuu, Yanga imeshinda mechi mbili, dhidi ya Njombe Mji na Ndanda fc.
Imetoka sare mechi tatu, na Lipuli, Majimaji na Mtibwa.
Kweli kama bingwa mtetezi huu sio mwanzo mzuri.
Mi naona tatizo ni kuukosa udhamini wa Manji na sio kocha Lwandamila
Mpira Pesa.
Ila kumbuka Lwandamina tumekuwa naye tangu mwaka jana mzunguko was kwanza kipindi ambacho Manji hakuwa na maswahibu yoyote yale.

Lakini je hata hiyo mwaka jana alikuwa anafanya vizuri?
 
Back
Top Bottom