greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,764
- 3,230
Nipo katika wiki mbili za mapumziko,natumia mda huu katika kuchambua ripoti za makampuni yaliyopo DSE..
Karibuni tushirikiane kwa hili.
Tunaweza fanya kwa kuunda group la WhatsApp au tukakutana...
Ili tujue kampuni lipi
1. Zuri kuwekeza kwa mda mrefu
2.zuri kuwekeza mda mfupi
3. Hali nzima ya soko ipoje
Kwa aliye interested ani DM..
Nimeambatanisha picha zikionesha ripoti za makampuni ,nikipitia ripoti ya TATEPA na file langu la excel