YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
hivi hisa Mfano mtu umeuza Nani huwa anahakiki kuwa hisa za Fulani zimeuzwa Leo na kuhakiki kuwa hizo pesa zinaingia kwenye akaunti ya mhusika kwa wakati?
Na gawio la wanahisa likitoka nani anayehakiki kuwa Hilo gawio linaenda kwa wahusika kwa wakati?
Moderators msiipeleke hii habari jukwaa la biashara Kuna Pandora box litafunguliwa