Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 182,097 Reaction score 1,099,383 Jan 15, 2025 #2 Kwa nini unaiuza? Ina matatizo gani? Au inachemka sana pembeni? Na converter inapata moto kupita kiasi? 600K unaweza kuchukua?
Kwa nini unaiuza? Ina matatizo gani? Au inachemka sana pembeni? Na converter inapata moto kupita kiasi? 600K unaweza kuchukua?
version001 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 841 Reaction score 2,004 Jan 15, 2025 #3 nilikuwa natafuta fridge sasahiv kwenye uzi mmoja mara ghafla naona yako, nibalikie 650,000 tsh nisiipeleke kariakoo kama hautojali
nilikuwa natafuta fridge sasahiv kwenye uzi mmoja mara ghafla naona yako, nibalikie 650,000 tsh nisiipeleke kariakoo kama hautojali