HISENSE Energy Fridge

HISENSE Energy Fridge

Kwa nini unaiuza?

Ina matatizo gani?

Au inachemka sana pembeni?

Na converter inapata moto kupita kiasi?

600K unaweza kuchukua?
 
nilikuwa natafuta fridge sasahiv kwenye uzi mmoja mara ghafla naona yako, nibalikie 650,000 tsh nisiipeleke kariakoo kama hautojali
 
Back
Top Bottom