TV4Sale Hisense Smart TV 4k nchi 75 inauzwa

TV4Sale Hisense Smart TV 4k nchi 75 inauzwa

Umeitoa 2.7-2.3mil
Kitu kikitumika bei yapaswa ipungue zaidi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwanza dukani unapata chini ya hapo. Tena Ikiwa na Stand, Bracket, HDMI Cable inclusive na unaletewa mpaka ulipo na kufungiwa Bure. Nilivyoona bei yake nikashtuka sana aisee.

Sababu juzi kati nimetoka kununua hiyo Kwa 2.2Mil ye used anauza 2.7mil.
 
Electronics hushuka bei

Kisichoshuka bei ni kiwanja

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwanza dukani unapata chini ya hapo. Tena Ikiwa na Stand, Bracket, HDMI Cable inclusive na unaletewa mpaka ulipo na kufungiwa Bure. Nilivyoona bei yake nikashtuka sana aisee.

Sababu juzi kati nimetoka kununua hiyo Kwa 2.2Mil ye used anauza 2.7mil.
Hiii ni smart 4k kaka TV hujaiona live ukiiona hata wewe hiyo 2.2 huchukuiii hiiii ni 4k zile zenyew hapo kweny picha 2 isikuongopeee ila njoo ukaguwe ucpo ikubari nakupa pesa yanaulii yakoo na usumbufu
 
Kwa kifupi hyo bei yako ni kubwa,haina uhalisia especially kwa TV ambayo ishatumika.uza Hyo Tv kwenye milion moja unless na wewe ni dalali unataka upate kitu kiaina..Zaid ya apo uwashawishi watu kwa nini unauza bei hyo ambapo ni kubwa zaid au sawa na mpya zilizopo dukani.
 
BOSS NIMESHUSHA BEIII HISENSE SMART 4K INCH 75 SLIM ULTRA NAIBWAGA KWA MILION MOJA NA LAKIII 8 WAHII CHAP UKAGUWE UONDOKE NAYO NJOO HATA NA FUNDII TV IKO CREEN HAINA HATA MCHUBUKO HAINA HATA CHAMOTO YOYOTE WAHII CHAP UJE UCHUKUE LOCATION KIGAMBONII ATAYE WAHII NAMBALIKII NA STEND ZAKE 0762407301[emoji419]
IMG-20230730-WA0007.jpg
IMG-20230730-WA0003.jpg
IMG-20230730-WA0006.jpg
IMG-20230730-WA0005.jpg
IMG-20230730-WA0000.jpg
IMG-20230730-WA0004.jpg
 
Naomba mka check model number zake halaf na beiii yake HISENSE SMART 4K INCH 75 A65OO
 
View attachment 2705422

Maana ziko za aina nyingi kweli

Mzee umeamua kummaliza Jamaa bila huruma [emoji23][emoji23]

Najaribu tu kumpa aina tofauti tofauti za Hisense 75" Smart 4K ili aseme yake ni ya aina ipi katika hizo ili nikiridhika na hayo maelezo ninunue kwake.
Kuna series zenye bei zaidi

Nilitembelea ofisi za Hisense pale sabasaba nikachukua hii picha

Hapo zimeorodheshwa bei ambazo zinatumika ofisini na bei ya punguzo ambayo inatumika hapo sabasaba

Screenshot_20230811-142014.png
 
Back
Top Bottom