TV4Sale Hisense Smart TV 4k nchi 75 inauzwa

Kuna series zenye bei zaidi

Nilitembelea ofisi za Hisense pale sabasaba nikachukua hii picha

Hapo zimeorodheshwa bei ambazo zinatumika ofisini na bei ya punguzo ambayo inatumika hapo sabasaba

View attachment 2714481
Serious hisense smart 4k inch 75 model A6500 uje ulete jibu usiongee vitu ambavyo hujuii boss ili uhalibu biashara za watu leo mimi kesho kwako
 
Soma vizuri nilichokiandika kabla ya kuanza kulaumu.

Nimeweka na picha hapo
 
Sorry bro nilizanii hii post ya huyo shark anaongea vitu ambavyo hajuii kwanza c dhanii kam alishawah ku2mia TV kam hiyo
 
TV hizo za 75" Kuna za kuanzia 2.2Mil mpaka hata 4Mil kulingana na vitu vingi kama vile ilikotengenezwa nje iliponunuliwa hapa ndani, bargain power yako, time, demand yake, etc.

Lakini wewe yako tutaamini vipi kama bei yako inatokana na ubora na sio hivyo vingine? Yaani kama ulienda kichwa kichwa ukapigwa mi bei mikubwa ndio tuamini kua yako ni nzuri sana kuliko za wengine?
 
Ubishii waning njoo ukaguwe na model nimekupa juu hapo ingia Google search huone kazii kuponda biashara za watu
 
Hakuna cha ubishi,
Model uliyoweka wewe ndio niliyoweka pia mimi. Piga picha box lake au pale palipoandikwa "Made in...." utume humu tuone yako ina u-special gani.

We unadhani kila mtu ni mbulula humu ununue kitu dukani 2.3mil ukitumie kisha uje uuze 2.7mil. Ukitoka hapo unajiona mjaaanjaaa,
 
Hisense zinatofautia, kuna za China, South Africa [emoji1221] nk.. pia series, 4 series, 6 series na 8seriees!! Pia kuna Hisense zinatumia OS ya Vidaa, Android au Google Tv.
Apo katika izo series os ya vidaa na google ipi nzuri?
 
Android tv ni nzuri asume unataka kuweka apps mbalimbali. Sema kwa uelewa wangu Hisense za huku kwetu zote ni Vidaa, Android tv wanauza huko Marekani na Ulaya, sisi washamba washamba tunaletewa Vidaa.

Ila zipo vidaa zinazochakachulika na atleast kuweka 3rd party apps, ila apps nyingi za kirusi, unapata movies na series ila kwa lugha ya kingereza chache sana. Kama unanunua iptv yako mwenye na Vod sio issue unaweza tumia Vidaa pia.
 
Hisense Smart TV 4k inch 75 bado mpya nyembamba imenyooka hizo picha tu ila ukiiona live ndo utakubali, imetumika miezii 3 inafaa kuoneshea mpira maana ni kubwa mwenyewe anashida na pesa haraka. Bei ni Milioni 2.7.

Nicheki tumalizane chap, 0762407301.

View attachment 2704516View attachment 2704518View attachment 2704519View attachment 2704522View attachment 2704520View attachment 2704524View attachment 2704521View attachment 2704525View attachment 2704523
Kama unakubali exchange karibu nikupe samsung smart tv inch 50k nkupe na hela
 
Android tv ni nzuri asume unataka kuweka apps mbalimbali. Sema kwa uelewa wangu Hisense za huku kwetu zote ni Vidaa, Android tv wanauza huko Marekani na Ulaya, sisi washamba washamba tunaletewa Vidaa.

Ila zipo vidaa zinazochakachulika na atleast kuweka 3rd party apps, ila apps nyingi za kirusi, unapata movies na series ila kwa lugha ya kingereza chache sana. Kama unanunua iptv yako mwenye na Vod sio issue unaweza tumia Vidaa pia.
ASante sana mkuu basi kwa maana iyo kwa mimi mtumiaji na mtu mwenye uwezo wa kati navoona tcl au haier inaweza nifaa maana izo ni android tvs je washauri vipi apo mkuu?
 
Ndio mkuu, kama kama una internet ya uhakika na unategemea apps Android tv ni nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom