Kwanza dukani unapata chini ya hapo. Tena Ikiwa na Stand, Bracket, HDMI Cable inclusive na unaletewa mpaka ulipo na kufungiwa Bure. Nilivyoona bei yake nikashtuka sana aisee.Umeitoa 2.7-2.3mil
Kitu kikitumika bei yapaswa ipungue zaidi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Electronics hushuka beiKwanza dukani unapata chini ya hapo. Tena Ikiwa na Stand, Bracket, HDMI Cable inclusive na unaletewa mpaka ulipo na kufungiwa Bure. Nilivyoona bei yake nikashtuka sana aisee.
Sababu juzi kati nimetoka kununua hiyo Kwa 2.2Mil ye used anauza 2.7mil.
Sahihi kabisaElectronics hushuka bei
Kisichoshuka bei ni kiwanja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hiii ni smart 4k kaka TV hujaiona live ukiiona hata wewe hiyo 2.2 huchukuiii hiiii ni 4k zile zenyew hapo kweny picha 2 isikuongopeee ila njoo ukaguwe ucpo ikubari nakupa pesa yanaulii yakoo na usumbufuKwanza dukani unapata chini ya hapo. Tena Ikiwa na Stand, Bracket, HDMI Cable inclusive na unaletewa mpaka ulipo na kufungiwa Bure. Nilivyoona bei yake nikashtuka sana aisee.
Sababu juzi kati nimetoka kununua hiyo Kwa 2.2Mil ye used anauza 2.7mil.
Swali zuri sana1.Mkuu upo sehemu gani?
2. Nikileta mteja unanipa ngapi ya kula?
KabisaElectronics hushuka bei
Kisichoshuka bei ni kiwanja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ongeza moja uje uchukuweIkifika 1.3M unistue.
Mia9 itapendeza zaidiOngeza moja uje uchukuwe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Weka 750 hapoo...!!Mia9 itapendeza zaidi
Kuwenii serious na biashara za watu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Weka 750 hapoo...!!
Kuwenii serious na biashara za watu una mcheka mwanaum mwenzako kweny biasharaMia9 itapendeza zaidi
Saw bossningenunua sema inaonesha twaha kiduku akipigwa[emoji16][emoji16]
Mzee umeamua kummaliza Jamaa bila huruma [emoji23][emoji23]
Kuna series zenye bei zaidiNajaribu tu kumpa aina tofauti tofauti za Hisense 75" Smart 4K ili aseme yake ni ya aina ipi katika hizo ili nikiridhika na hayo maelezo ninunue kwake.