Hilo ni kweli, ila ndio awe Makonda sasa? Hapo ndio utajua Bado ccm kumejaa wajinga wengi na wanaoamini katika kutumia mabavu.Teuzi hufanyika kulingana na mahitaji ya Nyakati husika
Sukuma Gang ni dhana ya uongo, haijapata kuwepo katika uhalisia.Nawashangaa sana wanao mponda bi mkubwa kwa kumteua Makonda. Bi mkubwa ametumia akili ya juu sana kumteua Makonda.
Kwenye mpira wa miguu kocha huwa anampanga mchezaji kwenye mechi sio kwa sababu mchezaji huyo ni hodari sana kuliko wenzake lah hasha ila anampanga mchezaji huyo kwenye mechi kwa sababu mechi hiyo ina muhitaji.
Bi mkubwa = Kocha.
Makonda = mchezaji
Leave our president alone.
# KWA Makonda na Dotto Biteko tumeshaiua Sukuma Gang.
Kwa hiyo polisi hawatakamata watu tena??Tatizo la siasa za nchi yetu zimejikita katika ubingwa wa kutoa lugha chafu, matusi na kebehi, na kwa hilo Makonda ni bingwa!
Najadili siasa za majukwaani. Polisi wataendelea na uchawa wao!Kwa hiyo polisi hawatakamata watu tena??
Kwahali ya sasa ya utawala wa bibie hauna lolote jipya,wanachofanya ni kupita mulemule alipopita meko...mpka tufike 2025 utaona maajabu huko ccm,bashiru,polepole watarudishwa na kupewa nafasi kubwa chamani.Kama kichwa cha mada kinavyobainisha, hizi ni hisia zangu tu.
Sijafanya utafiti ulio rasmi. Sina uwezo wa kiakili wala wa kiutaalamu kuweza kufanya utafiti wowote ule ulio wa kisayansi.
Ni hisia zangu kama mtu na raia mwenye busara za kawaida tu [common sense] ambaye hupenda kuangalia na kutazama mambo yajiriyo kwenye jamii na kuyachanganua kwa kadri ya uwezo wangu.
Sasa kilichonisukuma kuanzisha mada hii ni uteuzi wa aliyekuwa ‘Governor[emoji1787]’ wa Dar es Salaam enzi za utawala wa Rais John Pombe Joseph Magufuli [najua alikuwa ni Dokta pia ila nimeliacha tu hilo kwa makusudi [emoji6]].
Siku si nyingi zilizopita, Paul Makonda aliteuliwa [au alichaguliwa?] kuwa katibu wa itikadi na uenezi wa CCM.
Sijui aliteuliwa kwa sifa zipi hasa maana jamaa ni kiwanda cha pumba tupu kila afunguapo domo lake.
Katika kumfuatilia kwangu kwa ukaribu tokea aanze utumishi wa umma, sijawahi kumsikia akiongea jambo lolote lile ambalo lilinifanya nimkubali. Akifungua domo lake huwa ni pumba tu mwanzo, katikati, mpaka mwisho. Pumba.com. Undisputed, undefeated PumbaMaker champion of the world.
Kilichonistua zaidi kuhusu uteuzi wake huo, ni yale mapokeo ya taarifa za yeye kuteuliwa kushika hiyo nafasi, hususan hapa JF ila pia hata kwingineko.
Majumuisho ya uangalizi [observation] wangu huo ni kwamba, idadi ya watu waliofurahia Makonda kurudi kwenye safi za juu za kiuongozi kwenye chama chake, ni kubwa.
Nilitegemea kuwepo mapokeo yaliyo hasi. Nilitegemea uteuzi wake huo ubezwe. Nilitegemea watu watapuuzia mbali huo uteuzi.
Lakini haikuwa hivyo. Watu walionyeshwa kufurahishwa na kurudishwa kwake. Wapo waliosema kuwa yeye ndiye mtu sahihi kwenye hiyo nafasi.
Baadhi ya walioonyesha furaha ya yeye kurudi ni wale ambao wamejitanabaisha kama ni watu walio pinzani na CCM.
Hali hiyo ya mapokeo ya watu juu ya taarifa za Makonda kuteuliwa kuwa katibu mwenezi zimenifanya nijiulize endapo labda Watanzania kwa uwingi wao wanasumbuliwa na Stockholm Syndrome baada ya kushikwa mateka na utawala wa chama kimoja tokea tupate uhuru zaidi ya miaka 60 iliyopita!
Manake haiingii akilini kabisa! Iweje mtu kama Paul Makonda mwenye kashfa nyingi zihusuzo uvunjwaji na ukiukaji wa haki za kibinadamu na makandokando mengine mengi kurudishwa kwake kwenye uongozi wa chama chake kufurahiwe namna hiyo na watu?
Ni kama vile CCM imeziteka akili na hisia za watu mpaka watu hao kuona kana kwamba bila hicho chama basi hata nchi nayo haipo.
Duniani kwa kawaida, kwa mtazamo wangu, idadi ya wapumbavu na wajinga huwa ni kubwa zaidi kuliko ile ya walio werevu.
Ila kwa Tanzania, nadhani idadi ya wapumbavu inaizidi idadi ya wajinga. Na ukijumlisha idadi ya wapumbavu na wajinga, kwa makisio yangu, inafika hata kwenye 99% ya idadi yote ya watu.
Kama kichwa cha mada kinavyobainisha, hizi ni hisia zangu tu.

Refuu imejaa majungu unafiki, roho mbaya, wivuKama kichwa cha mada kinavyobainisha, hizi ni hisia zangu tu.

""Manake haiingii akilini kabisa! Iweje mtu kama Paul Makonda mwenye kashfa nyingi zihusuzo uvunjwaji na ukiukaji wa haki za kibinadamu na makandokando mengine mengi kurudishwa kwake kwenye uongozi wa chama chake kufurahiwe namna hiyo na watu"""Kama kichwa cha mada kinavyobainisha, hizi ni hisia zangu tu.
Sijafanya utafiti ulio rasmi. Sina uwezo wa kiakili wala wa kiutaalamu kuweza kufanya utafiti wowote ule ulio wa kisayansi.
Ni hisia zangu kama mtu na raia mwenye busara za kawaida tu [common sense] ambaye hupenda kuangalia na kutazama mambo yajiriyo kwenye jamii na kuyachanganua kwa kadri ya uwezo wangu.
Sasa kilichonisukuma kuanzisha mada hii ni uteuzi wa aliyekuwa ‘Governor[emoji1787]’ wa Dar es Salaam enzi za utawala wa Rais John Pombe Joseph Magufuli [najua alikuwa ni Dokta pia ila nimeliacha tu hilo kwa makusudi [emoji6]].
Siku si nyingi zilizopita, Paul Makonda aliteuliwa [au alichaguliwa?] kuwa katibu wa itikadi na uenezi wa CCM.
Sijui aliteuliwa kwa sifa zipi hasa maana jamaa ni kiwanda cha pumba tupu kila afunguapo domo lake.
Katika kumfuatilia kwangu kwa ukaribu tokea aanze utumishi wa umma, sijawahi kumsikia akiongea jambo lolote lile ambalo lilinifanya nimkubali. Akifungua domo lake huwa ni pumba tu mwanzo, katikati, mpaka mwisho. Pumba.com. Undisputed, undefeated PumbaMaker champion of the world.
Kilichonistua zaidi kuhusu uteuzi wake huo, ni yale mapokeo ya taarifa za yeye kuteuliwa kushika hiyo nafasi, hususan hapa JF ila pia hata kwingineko.
Majumuisho ya uangalizi [observation] wangu huo ni kwamba, idadi ya watu waliofurahia Makonda kurudi kwenye safi za juu za kiuongozi kwenye chama chake, ni kubwa.
Nilitegemea kuwepo mapokeo yaliyo hasi. Nilitegemea uteuzi wake huo ubezwe. Nilitegemea watu watapuuzia mbali huo uteuzi.
Lakini haikuwa hivyo. Watu walionyeshwa kufurahishwa na kurudishwa kwake. Wapo waliosema kuwa yeye ndiye mtu sahihi kwenye hiyo nafasi.
Baadhi ya walioonyesha furaha ya yeye kurudi ni wale ambao wamejitanabaisha kama ni watu walio pinzani na CCM.
Hali hiyo ya mapokeo ya watu juu ya taarifa za Makonda kuteuliwa kuwa katibu mwenezi zimenifanya nijiulize endapo labda Watanzania kwa uwingi wao wanasumbuliwa na Stockholm Syndrome baada ya kushikwa mateka na utawala wa chama kimoja tokea tupate uhuru zaidi ya miaka 60 iliyopita!
Manake haiingii akilini kabisa! Iweje mtu kama Paul Makonda mwenye kashfa nyingi zihusuzo uvunjwaji na ukiukaji wa haki za kibinadamu na makandokando mengine mengi kurudishwa kwake kwenye uongozi wa chama chake kufurahiwe namna hiyo na watu?
Ni kama vile CCM imeziteka akili na hisia za watu mpaka watu hao kuona kana kwamba bila hicho chama basi hata nchi nayo haipo.
Duniani kwa kawaida, kwa mtazamo wangu, idadi ya wapumbavu na wajinga huwa ni kubwa zaidi kuliko ile ya walio werevu.
Ila kwa Tanzania, nadhani idadi ya wapumbavu inaizidi idadi ya wajinga. Na ukijumlisha idadi ya wapumbavu na wajinga, kwa makisio yangu, inafika hata kwenye 99% ya idadi yote ya watu.
Kuwaondoa ccm halafu uweke chama gani? Chadema iliyojaa ukabila na wahuni? Tatizo hakuna chama mbadala wa ccmWatanzania wako zaidi ya milioni 60.
CCM na wanachama wao hawazidi hata milioni 10.
Watanzania zaidi ya milioni 50 tunashindwa nini kuwaondoa CCM?
Uoga tu.
Sehemu kubwa ya wachangiaji nadhani wanajaribu kutaka kupata picha ya nini hasa kimetokea mpaka akateuliwa ?!Kama kichwa cha mada kinavyobainisha, hizi ni hisia zangu tu.
Sijafanya utafiti ulio rasmi. Sina uwezo wa kiakili wala wa kiutaalamu kuweza kufanya utafiti wowote ule ulio wa kisayansi.
Ni hisia zangu kama mtu na raia mwenye busara za kawaida tu [common sense] ambaye hupenda kuangalia na kutazama mambo yajiriyo kwenye jamii na kuyachanganua kwa kadri ya uwezo wangu.
Sasa kilichonisukuma kuanzisha mada hii ni uteuzi wa aliyekuwa ‘Governor🤣’ wa Dar es Salaam enzi za utawala wa Rais John Pombe Joseph Magufuli [najua alikuwa ni Dokta pia ila nimeliacha tu hilo kwa makusudi 😉].
Siku si nyingi zilizopita, Paul Makonda aliteuliwa [au alichaguliwa?] kuwa katibu wa itikadi na uenezi wa CCM.
Sijui aliteuliwa kwa sifa zipi hasa maana jamaa ni kiwanda cha pumba tupu kila afunguapo domo lake.
Katika kumfuatilia kwangu kwa ukaribu tokea aanze utumishi wa umma, sijawahi kumsikia akiongea jambo lolote lile ambalo lilinifanya nimkubali. Akifungua domo lake huwa ni pumba tu mwanzo, katikati, mpaka mwisho. Pumba.com. Undisputed, undefeated PumbaMaker champion of the world.
Kilichonistua zaidi kuhusu uteuzi wake huo, ni yale mapokeo ya taarifa za yeye kuteuliwa kushika hiyo nafasi, hususan hapa JF ila pia hata kwingineko.
Majumuisho ya uangalizi [observation] wangu huo ni kwamba, idadi ya watu waliofurahia Makonda kurudi kwenye safi za juu za kiuongozi kwenye chama chake, ni kubwa.
Nilitegemea kuwepo mapokeo yaliyo hasi. Nilitegemea uteuzi wake huo ubezwe. Nilitegemea watu watapuuzia mbali huo uteuzi.
Lakini haikuwa hivyo. Watu walionyeshwa kufurahishwa na kurudishwa kwake. Wapo waliosema kuwa yeye ndiye mtu sahihi kwenye hiyo nafasi.
Baadhi ya walioonyesha furaha ya yeye kurudi ni wale ambao wamejitanabaisha kama ni watu walio pinzani na CCM.
Hali hiyo ya mapokeo ya watu juu ya taarifa za Makonda kuteuliwa kuwa katibu mwenezi zimenifanya nijiulize endapo labda Watanzania kwa uwingi wao wanasumbuliwa na Stockholm Syndrome baada ya kushikwa mateka na utawala wa chama kimoja tokea tupate uhuru zaidi ya miaka 60 iliyopita!
Manake haiingii akilini kabisa! Iweje mtu kama Paul Makonda mwenye kashfa nyingi zihusuzo uvunjwaji na ukiukaji wa haki za kibinadamu na makandokando mengine mengi kurudishwa kwake kwenye uongozi wa chama chake kufurahiwe namna hiyo na watu?
Ni kama vile CCM imeziteka akili na hisia za watu mpaka watu hao kuona kana kwamba bila hicho chama basi hata nchi nayo haipo.
Duniani kwa kawaida, kwa mtazamo wangu, idadi ya wapumbavu na wajinga huwa ni kubwa zaidi kuliko ile ya walio werevu.
Ila kwa Tanzania, nadhani idadi ya wapumbavu inaizidi idadi ya wajinga. Na ukijumlisha idadi ya wapumbavu na wajinga, kwa makisio yangu, inafika hata kwenye 99% ya idadi yote ya watu.
Kama nakuelewa vile!!!Hii nchi ukijielewa hupati nafasi wanerithisha hata sekta binafsi na wenyewe IPO hiyo system
Mkuu umesema kweli. Tuna taifa lenye watu wapumbavu wengi sana. Kuna wengine wanadiriki kuandika kuwa eti ndiye Rais wa Tanzania mwaka 2030.Kama kichwa cha mada kinavyobainisha, hizi ni hisia zangu tu.

Hilo ni kweli, ila ndio awe Makonda sasa? Hapo ndio utajua Bado ccm kumejaa wajinga wengi na wanaoamini katika kutumia mabavu.