Hisia: Kuna idadi kubwa ya Watanzania wanaosumbuliwa na Stockholm Syndrome ikija kwenye kutawaliwa na CCM!

Nawashangaa sana wanao mponda bi mkubwa kwa kumteua Makonda. Bi mkubwa ametumia akili ya juu sana kumteua Makonda.

Kwenye mpira wa miguu kocha huwa anampanga mchezaji kwenye mechi sio kwa sababu mchezaji huyo ni hodari sana kuliko wenzake lah hasha ila anampanga mchezaji huyo kwenye mechi kwa sababu mechi hiyo ina muhitaji.

Bi mkubwa = Kocha.

Makonda = mchezaji

Leave our president alone.

# KWA Makonda na Dotto Biteko tumeshaiua Sukuma Gang.
Sukuma Gang ni dhana ya uongo, haijapata kuwepo katika uhalisia.
 
Tatizo la siasa za nchi yetu zimejikita katika ubingwa wa kutoa lugha chafu, matusi na kebehi, na kwa hilo Makonda ni bingwa!
Kwa hiyo polisi hawatakamata watu tena??
 
Kama kichwa cha mada kinavyobainisha, hizi ni hisia zangu tu.

Sijafanya utafiti ulio rasmi. Sina uwezo wa kiakili wala wa kiutaalamu kuweza kufanya utafiti wowote ule ulio wa kisayansi.

Ni hisia zangu kama mtu na raia mwenye busara za kawaida tu [common sense] ambaye hupenda kuangalia na kutazama mambo yajiriyo kwenye jamii na kuyachanganua kwa kadri ya uwezo wangu.

Sasa kilichonisukuma kuanzisha mada hii ni uteuzi wa aliyekuwa ‘Governor[emoji1787]’ wa Dar es Salaam enzi za utawala wa Rais John Pombe Joseph Magufuli [najua alikuwa ni Dokta pia ila nimeliacha tu hilo kwa makusudi [emoji6]].

Siku si nyingi zilizopita, Paul Makonda aliteuliwa [au alichaguliwa?] kuwa katibu wa itikadi na uenezi wa CCM.

Sijui aliteuliwa kwa sifa zipi hasa maana jamaa ni kiwanda cha pumba tupu kila afunguapo domo lake.

Katika kumfuatilia kwangu kwa ukaribu tokea aanze utumishi wa umma, sijawahi kumsikia akiongea jambo lolote lile ambalo lilinifanya nimkubali. Akifungua domo lake huwa ni pumba tu mwanzo, katikati, mpaka mwisho. Pumba.com. Undisputed, undefeated PumbaMaker champion of the world.

Kilichonistua zaidi kuhusu uteuzi wake huo, ni yale mapokeo ya taarifa za yeye kuteuliwa kushika hiyo nafasi, hususan hapa JF ila pia hata kwingineko.

Majumuisho ya uangalizi [observation] wangu huo ni kwamba, idadi ya watu waliofurahia Makonda kurudi kwenye safi za juu za kiuongozi kwenye chama chake, ni kubwa.

Nilitegemea kuwepo mapokeo yaliyo hasi. Nilitegemea uteuzi wake huo ubezwe. Nilitegemea watu watapuuzia mbali huo uteuzi.

Lakini haikuwa hivyo. Watu walionyeshwa kufurahishwa na kurudishwa kwake. Wapo waliosema kuwa yeye ndiye mtu sahihi kwenye hiyo nafasi.

Baadhi ya walioonyesha furaha ya yeye kurudi ni wale ambao wamejitanabaisha kama ni watu walio pinzani na CCM.

Hali hiyo ya mapokeo ya watu juu ya taarifa za Makonda kuteuliwa kuwa katibu mwenezi zimenifanya nijiulize endapo labda Watanzania kwa uwingi wao wanasumbuliwa na Stockholm Syndrome baada ya kushikwa mateka na utawala wa chama kimoja tokea tupate uhuru zaidi ya miaka 60 iliyopita!

Manake haiingii akilini kabisa! Iweje mtu kama Paul Makonda mwenye kashfa nyingi zihusuzo uvunjwaji na ukiukaji wa haki za kibinadamu na makandokando mengine mengi kurudishwa kwake kwenye uongozi wa chama chake kufurahiwe namna hiyo na watu?

Ni kama vile CCM imeziteka akili na hisia za watu mpaka watu hao kuona kana kwamba bila hicho chama basi hata nchi nayo haipo.

Duniani kwa kawaida, kwa mtazamo wangu, idadi ya wapumbavu na wajinga huwa ni kubwa zaidi kuliko ile ya walio werevu.

Ila kwa Tanzania, nadhani idadi ya wapumbavu inaizidi idadi ya wajinga. Na ukijumlisha idadi ya wapumbavu na wajinga, kwa makisio yangu, inafika hata kwenye 99% ya idadi yote ya watu.
Kwahali ya sasa ya utawala wa bibie hauna lolote jipya,wanachofanya ni kupita mulemule alipopita meko...mpka tufike 2025 utaona maajabu huko ccm,bashiru,polepole watarudishwa na kupewa nafasi kubwa chamani.
Utaweza kusikia mkurugenzi wa NEC ni simon siro
 
Hivi lini watanzania tutaacha chuki?..una uhakika gani that guy has committed those dirty deeds?.
 
Refuu imejaa majungu unafiki, roho mbaya, wivu
 
""Manake haiingii akilini kabisa! Iweje mtu kama Paul Makonda mwenye kashfa nyingi zihusuzo uvunjwaji na ukiukaji wa haki za kibinadamu na makandokando mengine mengi kurudishwa kwake kwenye uongozi wa chama chake kufurahiwe namna hiyo na watu"""

Marekani inaiharibu Dunia kila sehemu ina ujinga usiomithirika ila unamuona Makonda tu

Kumjadili tu ni kumpaisha
 
Watanzania wako zaidi ya milioni 60.

CCM na wanachama wao hawazidi hata milioni 10.

Watanzania zaidi ya milioni 50 tunashindwa nini kuwaondoa CCM?

Uoga tu.
Kuwaondoa ccm halafu uweke chama gani? Chadema iliyojaa ukabila na wahuni? Tatizo hakuna chama mbadala wa ccm
 
Kama kichwa cha mada kinavyobainisha, hizi ni hisia zangu tu.

Sijafanya utafiti ulio rasmi. Sina uwezo wa kiakili wala wa kiutaalamu kuweza kufanya utafiti wowote ule ulio wa kisayansi.

Ni hisia zangu kama mtu na raia mwenye busara za kawaida tu [common sense] ambaye hupenda kuangalia na kutazama mambo yajiriyo kwenye jamii na kuyachanganua kwa kadri ya uwezo wangu.

Sasa kilichonisukuma kuanzisha mada hii ni uteuzi wa aliyekuwa ‘Governor🤣’ wa Dar es Salaam enzi za utawala wa Rais John Pombe Joseph Magufuli [najua alikuwa ni Dokta pia ila nimeliacha tu hilo kwa makusudi 😉].

Siku si nyingi zilizopita, Paul Makonda aliteuliwa [au alichaguliwa?] kuwa katibu wa itikadi na uenezi wa CCM.

Sijui aliteuliwa kwa sifa zipi hasa maana jamaa ni kiwanda cha pumba tupu kila afunguapo domo lake.

Katika kumfuatilia kwangu kwa ukaribu tokea aanze utumishi wa umma, sijawahi kumsikia akiongea jambo lolote lile ambalo lilinifanya nimkubali. Akifungua domo lake huwa ni pumba tu mwanzo, katikati, mpaka mwisho. Pumba.com. Undisputed, undefeated PumbaMaker champion of the world.

Kilichonistua zaidi kuhusu uteuzi wake huo, ni yale mapokeo ya taarifa za yeye kuteuliwa kushika hiyo nafasi, hususan hapa JF ila pia hata kwingineko.

Majumuisho ya uangalizi [observation] wangu huo ni kwamba, idadi ya watu waliofurahia Makonda kurudi kwenye safi za juu za kiuongozi kwenye chama chake, ni kubwa.

Nilitegemea kuwepo mapokeo yaliyo hasi. Nilitegemea uteuzi wake huo ubezwe. Nilitegemea watu watapuuzia mbali huo uteuzi.

Lakini haikuwa hivyo. Watu walionyeshwa kufurahishwa na kurudishwa kwake. Wapo waliosema kuwa yeye ndiye mtu sahihi kwenye hiyo nafasi.

Baadhi ya walioonyesha furaha ya yeye kurudi ni wale ambao wamejitanabaisha kama ni watu walio pinzani na CCM.

Hali hiyo ya mapokeo ya watu juu ya taarifa za Makonda kuteuliwa kuwa katibu mwenezi zimenifanya nijiulize endapo labda Watanzania kwa uwingi wao wanasumbuliwa na Stockholm Syndrome baada ya kushikwa mateka na utawala wa chama kimoja tokea tupate uhuru zaidi ya miaka 60 iliyopita!

Manake haiingii akilini kabisa! Iweje mtu kama Paul Makonda mwenye kashfa nyingi zihusuzo uvunjwaji na ukiukaji wa haki za kibinadamu na makandokando mengine mengi kurudishwa kwake kwenye uongozi wa chama chake kufurahiwe namna hiyo na watu?

Ni kama vile CCM imeziteka akili na hisia za watu mpaka watu hao kuona kana kwamba bila hicho chama basi hata nchi nayo haipo.

Duniani kwa kawaida, kwa mtazamo wangu, idadi ya wapumbavu na wajinga huwa ni kubwa zaidi kuliko ile ya walio werevu.

Ila kwa Tanzania, nadhani idadi ya wapumbavu inaizidi idadi ya wajinga. Na ukijumlisha idadi ya wapumbavu na wajinga, kwa makisio yangu, inafika hata kwenye 99% ya idadi yote ya watu.
Sehemu kubwa ya wachangiaji nadhani wanajaribu kutaka kupata picha ya nini hasa kimetokea mpaka akateuliwa ?!

Je upo mpasuko Chamani ?
Watu wanaunganisha dots kwanza ule uhamisho wa Chalamila kuletwa Dar na huu wa Mwenezi wa Chama kuteuliwa hivi sasa !
Watu wanajiuliza na wanataka kujua je remote imeisha betri ??!
😅😅😅🙏🙏
Speculations kama kawaida ya wabongo ndio inayosumbua !!
 
jibu ndio hilo hapo
Screenshot_20231031-055918_Gallery.jpg
 
Kama kichwa cha mada kinavyobainisha, hizi ni hisia zangu tu.

Sijafanya utafiti ulio rasmi. Sina uwezo wa kiakili wala wa kiutaalamu kuweza kufanya utafiti wowote ule ulio wa kisayansi.

Ni hisia zangu kama mtu na raia mwenye busara za kawaida tu [common sense] ambaye hupenda kuangalia na kutazama mambo yajiriyo kwenye jamii na kuyachanganua kwa kadri ya uwezo wangu.

Sasa kilichonisukuma kuanzisha mada hii ni uteuzi wa aliyekuwa ‘Governor🤣’ wa Dar es Salaam enzi za utawala wa Rais John Pombe Joseph Magufuli [najua alikuwa ni Dokta pia ila nimeliacha tu hilo kwa makusudi 😉].

Siku si nyingi zilizopita, Paul Makonda aliteuliwa [au alichaguliwa?] kuwa katibu wa itikadi na uenezi wa CCM.

Sijui aliteuliwa kwa sifa zipi hasa maana jamaa ni kiwanda cha pumba tupu kila afunguapo domo lake.

Katika kumfuatilia kwangu kwa ukaribu tokea aanze utumishi wa umma, sijawahi kumsikia akiongea jambo lolote lile ambalo lilinifanya nimkubali. Akifungua domo lake huwa ni pumba tu mwanzo, katikati, mpaka mwisho. Pumba.com. Undisputed, undefeated PumbaMaker champion of the world.

Kilichonistua zaidi kuhusu uteuzi wake huo, ni yale mapokeo ya taarifa za yeye kuteuliwa kushika hiyo nafasi, hususan hapa JF ila pia hata kwingineko.

Majumuisho ya uangalizi [observation] wangu huo ni kwamba, idadi ya watu waliofurahia Makonda kurudi kwenye safi za juu za kiuongozi kwenye chama chake, ni kubwa.

Nilitegemea kuwepo mapokeo yaliyo hasi. Nilitegemea uteuzi wake huo ubezwe. Nilitegemea watu watapuuzia mbali huo uteuzi.

Lakini haikuwa hivyo. Watu walionyeshwa kufurahishwa na kurudishwa kwake. Wapo waliosema kuwa yeye ndiye mtu sahihi kwenye hiyo nafasi.

Baadhi ya walioonyesha furaha ya yeye kurudi ni wale ambao wamejitanabaisha kama ni watu walio pinzani na CCM.

Hali hiyo ya mapokeo ya watu juu ya taarifa za Makonda kuteuliwa kuwa katibu mwenezi zimenifanya nijiulize endapo labda Watanzania kwa uwingi wao wanasumbuliwa na Stockholm Syndrome baada ya kushikwa mateka na utawala wa chama kimoja tokea tupate uhuru zaidi ya miaka 60 iliyopita!

Manake haiingii akilini kabisa! Iweje mtu kama Paul Makonda mwenye kashfa nyingi zihusuzo uvunjwaji na ukiukaji wa haki za kibinadamu na makandokando mengine mengi kurudishwa kwake kwenye uongozi wa chama chake kufurahiwe namna hiyo na watu?

Ni kama vile CCM imeziteka akili na hisia za watu mpaka watu hao kuona kana kwamba bila hicho chama basi hata nchi nayo haipo.

Duniani kwa kawaida, kwa mtazamo wangu, idadi ya wapumbavu na wajinga huwa ni kubwa zaidi kuliko ile ya walio werevu.

Ila kwa Tanzania, nadhani idadi ya wapumbavu inaizidi idadi ya wajinga. Na ukijumlisha idadi ya wapumbavu na wajinga, kwa makisio yangu, inafika hata kwenye 99% ya idadi yote ya watu.
Mkuu umesema kweli. Tuna taifa lenye watu wapumbavu wengi sana. Kuna wengine wanadiriki kuandika kuwa eti ndiye Rais wa Tanzania mwaka 2030.

Nimeshangaa sana mawazo kama haya. Wengine wanasema eti kaI ya Mwenezi wa CCM ni sawa kuwafuatilia mawaziri na ma RCs.

Kama kweli Rais kamteua ili atumike kuwabwatukia Mawaziri wazembe, basi ni bora Rais akubali kuwa ameshindwa kuwasimamia watu aliowateua mwenyewe. Tujue tunatafuta Rais mwingine
 
Angalau alijaribu kupambana na wauza ngada.
 
Hukuwa na haja ya kutumia Stockholm syndrome pasipo kueleza bayana hicho ni kitu gani, na kashafa nyingi za Makonda ni uzushi na wivu, Enzi za Magufuli Makonda alisaidia wenye shida ikiwemo wajane na waliodhulumiwa Mali zao
 
Kama kichwa cha mada kinavyobainisha, hizi ni hisia zangu tu.

Sijafanya utafiti ulio rasmi. Sina uwezo wa kiakili wala wa kiutaalamu kuweza kufanya utafiti wowote ule ulio wa kisayansi.

Ni hisia zangu kama mtu na raia mwenye busara za kawaida tu [common sense] ambaye hupenda kuangalia na kutazama mambo yajiriyo kwenye jamii na kuyachanganua kwa kadri ya uwezo wangu.

Sasa kilichonisukuma kuanzisha mada hii ni uteuzi wa aliyekuwa ‘Governor🤣’ wa Dar es Salaam enzi za utawala wa Rais John Pombe Joseph Magufuli [najua alikuwa ni Dokta pia ila nimeliacha tu hilo kwa makusudi 😉].

Siku si nyingi zilizopita, Paul Makonda aliteuliwa [au alichaguliwa?] kuwa katibu wa itikadi na uenezi wa CCM.

Sijui aliteuliwa kwa sifa zipi hasa maana jamaa ni kiwanda cha pumba tupu kila afunguapo domo lake.

Katika kumfuatilia kwangu kwa ukaribu tokea aanze utumishi wa umma, sijawahi kumsikia akiongea jambo lolote lile ambalo lilinifanya nimkubali. Akifungua domo lake huwa ni pumba tu mwanzo, katikati, mpaka mwisho. Pumba.com. Undisputed, undefeated PumbaMaker champion of the world.

Kilichonistua zaidi kuhusu uteuzi wake huo, ni yale mapokeo ya taarifa za yeye kuteuliwa kushika hiyo nafasi, hususan hapa JF ila pia hata kwingineko.

Majumuisho ya uangalizi [observation] wangu huo ni kwamba, idadi ya watu waliofurahia Makonda kurudi kwenye safi za juu za kiuongozi kwenye chama chake, ni kubwa.

Nilitegemea kuwepo mapokeo yaliyo hasi. Nilitegemea uteuzi wake huo ubezwe. Nilitegemea watu watapuuzia mbali huo uteuzi.

Lakini haikuwa hivyo. Watu walionyeshwa kufurahishwa na kurudishwa kwake. Wapo waliosema kuwa yeye ndiye mtu sahihi kwenye hiyo nafasi.

Baadhi ya walioonyesha furaha ya yeye kurudi ni wale ambao wamejitanabaisha kama ni watu walio pinzani na CCM.

Hali hiyo ya mapokeo ya watu juu ya taarifa za Makonda kuteuliwa kuwa katibu mwenezi zimenifanya nijiulize endapo labda Watanzania kwa uwingi wao wanasumbuliwa na Stockholm Syndrome baada ya kushikwa mateka na utawala wa chama kimoja tokea tupate uhuru zaidi ya miaka 60 iliyopita!

Manake haiingii akilini kabisa! Iweje mtu kama Paul Makonda mwenye kashfa nyingi zihusuzo uvunjwaji na ukiukaji wa haki za kibinadamu na makandokando mengine mengi kurudishwa kwake kwenye uongozi wa chama chake kufurahiwe namna hiyo na watu?

Ni kama vile CCM imeziteka akili na hisia za watu mpaka watu hao kuona kana kwamba bila hicho chama basi hata nchi nayo haipo.

Duniani kwa kawaida, kwa mtazamo wangu, idadi ya wapumbavu na wajinga huwa ni kubwa zaidi kuliko ile ya walio werevu.

Ila kwa Tanzania, nadhani idadi ya wapumbavu inaizidi idadi ya wajinga. Na ukijumlisha idadi ya wapumbavu na wajinga, kwa makisio yangu, inafika hata kwenye 99% ya idadi yote ya watu.
IMG_20231026_235504.jpg
 
Ukweli uwekwe wazi !! Kwa hali ilipo fikia CCM imeharibu pakubwa uwezo wa watu kufikiri sawasawa na kupambania mambo yakinifu Kwa utimamu wake.

Hata kama Mimi siijui vyema ccm lakini Kwa Yale tuliyo yaona na kusikia Makonda akiwa RC Dar hafai kuwa na nafasi kama aliyo pewa sasa.

Otherwise mabosi wake Wana sababu za kutunza masilahi ya wachache au Binafsi. Ni si Kwa faida ya taifa.
 
Hii ilikua bonge moja ya content km kichwa kingesomeka hivi:

Hisia: Kuna idadi kubwa ya Watanzania wanaosumbuliwa na Stockholm Syndrome.

Full stop.
 
Back
Top Bottom