ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sasa hivi watu wako busy kuperuzi mitandaoni kwani dunia ni kama Kijiji mtu unapata vyote ambavyo unavihitaji..
Ukitaka kufurahi na kuvunja mbavu huitaji mpenzi akuchekeshe unaingia katika page za vituko unakutana na comedy.
Ukitaka mtu wa kufanya naye sex unaingia tu katika site za X unaunganishwa na roho za Wengine unafanya Kama Ni punyeto n.k mpaka una cum..hatari sana..
Ukitaka Ushauri kutoka kwa mpenzi hauhitaji kuwa na mpenzi unaenda forum mbalimbali Kama vile Jf unaomba Ushauri watu wanakupa.