Hisia za wananchi mtaani: Kilichomfukuzisha Ndugai ni kuhoji kwake kwa nini Pesa nyingi za mkopo kupelekwa Zanzibar licha ya idadi ndogo ya watu

Hoja aliyoitoa Ndugai ina maana na uzito mkubwa sana,tatizo Ndugai kama Ndugai hakustahili kubeba hoja hiyo maana ana taswira mbaya sana kwa wananchi...ni muovu km Magu tu.
 
Hangaya amepanic vibaya mno!

Hata kama Ndugai ataondoka kwenye hiyo nafasi yake, lakini ujumbe wake utamtesa mpaka 2025.

Kikubwa zaidi ni kwamba aliepigwa hapa siyo Ndugai bali limepigwa bunge.
 
Siku tukigawana mbao na Zenji, Tanganyika itarudishaje mali na mikopo iliyoenda Zenj?
Au ndio ya Kenya Kuhodhi mali za EAC baada ya kuvunjika.
Acha kuota ndoto za Mchana!

Kiapo kikuu Tanzania kwa Ofisi zote ni kuilinda na kuitumikia Jamhuri ya Muungano Tanzania
 
Makosa ya chato hayahalalishi haya ya sasa!

Msiwe mnatumia vichwa vyenu kubebea nywele pekee
 
Kuhusu Ndugai nipo upande wa mama , namtetea mama, lakini kuhusu Tanganyika , nipo upande wa Ndugai, nahitaji Tanganyika yetu, tunataka serikali tatu Hapa. Haiwezekani Zanzibar ambayo Ina eneo dogo ifaidi national cake namna hii.
 
Hakuna wa kumharibia mama zaidi ya uoga wake tu
 
Una mtetea mama kwa kipi?
 
Hoja aliyoitoa Ndugai ina maana na uzito mkubwa sana,tatizo Ndugai kama Ndugai hakustahili kubeba hoja hiyo maana ana taswira mbaya sana kwa wananchi...ni muovu km Magu tu.
Hapo ndipo tunapoonekana wajinga!

Yani huangalii hoja ila unaangalia mtoa hoja.

Tuna safari ndefu bado
 
MI
Mkiambiwa katimba mpya muelewe kuohoji na kuongea hakuzui kitu chochote
 
Wewe uliejitambua pambana basi uuvunje huo muungano. Unamtegemea nani akusaidie? Mngazija mmoja wewe
 
Hakuna wa kumharibia mama zaidi ya uoga wake tu
Tangu lini Amir Jeshi Mkuu akawa muoga?

Kamsikikize Lissu mtaalam wa Sheria wa mtoa mada akwambie nguvu za Rais wa JMT kwa mujibu wa Sheria
 
Wakati mnawekewa traffic lights [emoji613] chato wakati punda tu walikuwa wanakatisha mbona hakuhoji?

Cha ajabu hakuna tunachokubali na hapo sio kuhoji ila lazima kuna mengi mama kayasikia kama kejeli na matusi
Kwani znz ikijengeka mbona bado ni sehemu ya Tz tu au kwa maendeleo hawamo?
Kuna watu wanafurahia machafuko tu huko ila wakisikia maendeleo roho za kwanini zinaanza
Acheni uchawi Zanzibar pia yetu na walisaini
 
Chawa wa Chief mkuu kazini, mtapambana sana lakini hoja ya Ndugai lazima iwatese Ile ni kerubu moja kubwa sana
 
Kubadili id hakusaidii..
chato ni wilaya mkoa wa geita
Jibu hoja..
Tukigawana mbao kwa jina lolote tutakalo tumia tutarudishaje
mikopo na mali zilizoenda Zenj?
 
SI ALISEMA MWENYEWE ANA FAILI MIREMBE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…