Hisia za wananchi mtaani: Kilichomfukuzisha Ndugai ni kuhoji kwake kwa nini Pesa nyingi za mkopo kupelekwa Zanzibar licha ya idadi ndogo ya watu

Kujiuzulu kwa Ndugai kumeambatana na hisia tofauti za wananchi. Lipo kundi la wananchi libalooamini kuwa kilichomfanya Samia akasirike, kuwa mbogo na kukunjua makucha dhidi ya Ndugai kinyume cha haiba yake ya upole ambayo wananchi wameizoea ni. kutokana na Ndugai kuonyesha mshangao bungeni wa kwa nini takriban shilingi bilioni 230 ambayoni sawa na 17% ya mkopo wote kupelekwa Zanzibar yenye watu wasiofika milioni 2,halafu eti kilichobaki ndo kigawiwe kwa watu milioni moja 58 waliobaki.

Wachambuzi wa Mambo wanasema hilo suala lilimkera Bi Mkubwa na kwa hiyo akawa anatafuta timing tu ya kumla Ndugai kichwa. Watu wanaozungumzia sakata la Ndugai wanasema licha ya mambo mengi mabaya ambayo Ndugai amewahi kutenda, lakini hili suala la kuzungumzia mikopo siyo suala kubwa kivile la kusabanisha rais awe mbogo. Watu wanasema Rais ana Jambo lake, Nalo ni Zanzibar!. Wananchi wanasema ukiigusa Zanzibar, Samia hatokuacha!

Wanaopinga Mihela mingi kwenda Zanzibar wanasema kuwa Zanzibar yenyewe kwa yenyewe hata kama ndiyo iliyokopa kupitia jina la Tanzania, haina uwezo wa kulipa mabilioni yote kwa hiyo at the end of the day Kwenye ulipaji licha ya kuwa ni kweli tutalipa kama nchi, lakini zigo zito litabebwa na watanganyika.

watu wanahoji kuwa, Zanzibar ambayo bajeti yake haijawahi kufika Trillion mbili, yenye kudaiwa deni la Umeme miaka nenda rudi, itapata wapi pesa za kulipa shilingi bilioni 230 kama hilo deni siyo zigo litakalobebwa na watanganyika?

Wapo wanaotetea mabilioni mengi ya idadi hiyo kwenda Zanzibar kwa hoja kuwa Zanzibar ni nchi, hata hivyo watu hao wanajibiwa kuwa Zanzibar kuwa nchi hskumfanyi Mzanzibar astahili zaidi kuliko mtanzania mwingine yeyote.

Wananchi hasa mitandaoni, wamekuwa wakijadili aina ya muungano wetu na kupendekeza ufanyiwe marekebisho. Watu wanahoji, Kwa nini Mranganyika hana power juu ya mambo ya ndani ya Zanzibar yasiyo ya muungano, lakini Mzanzibar anaweza kuwa Mtawala ambaye ana amri juu ya mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano?

Kujiuzulu kwa Ndugai na namna alivyojiuzulu kumeibua hisia kali na mijadala mikali mitandaoni. Ngoja tuone hili sakata litaelekea wapi!
Hoja aliyoitoa Ndugai ina maana na uzito mkubwa sana,tatizo Ndugai kama Ndugai hakustahili kubeba hoja hiyo maana ana taswira mbaya sana kwa wananchi...ni muovu km Magu tu.
 
Hangaya amepanic vibaya mno!

Hata kama Ndugai ataondoka kwenye hiyo nafasi yake, lakini ujumbe wake utamtesa mpaka 2025.

Kikubwa zaidi ni kwamba aliepigwa hapa siyo Ndugai bali limepigwa bunge.
 
Siku tukigawana mbao na Zenji, Tanganyika itarudishaje mali na mikopo iliyoenda Zenj?
Au ndio ya Kenya Kuhodhi mali za EAC baada ya kuvunjika.
Acha kuota ndoto za Mchana!

Kiapo kikuu Tanzania kwa Ofisi zote ni kuilinda na kuitumikia Jamhuri ya Muungano Tanzania
 
Kwani wakati mali za umma zinakimbizwa Chato watu si walitetea kwa nguvu kuwa ni sawa sasa hao hao wana guts zipi za kuhoji aina ileile ya tabia ya kiongozi mpya? It is nonsense mimi nilishajisemea Muungano ufe kila mtu apambane kivyake tu kuliko kila siku vilawamalawama kama watoto.
Leo wazanzibar wanashangilia kesho utasikia mayowe yao na wao bahati yao ni kwamba watanganyika hawajitambui tu laiti watanganyanyika wakijitambua kama wazanzibar juu ya nchi yao naamini Muungano utavunjika tu
Makosa ya chato hayahalalishi haya ya sasa!

Msiwe mnatumia vichwa vyenu kubebea nywele pekee
 
Kuhusu Ndugai nipo upande wa mama , namtetea mama, lakini kuhusu Tanganyika , nipo upande wa Ndugai, nahitaji Tanganyika yetu, tunataka serikali tatu Hapa. Haiwezekani Zanzibar ambayo Ina eneo dogo ifaidi national cake namna hii.
 
1. Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.

2. Kwa miaka zaidi ya 100 ikulu imekuwepo Dar es Salaam tangu mkoloni hadi sasa!

3. Matumizi mabaya ya mali ya umma ilikuwa kujenga uwanja wa kimataifa Chato tena Kwa kampuni mali ya familia ya mwendazake

Matumizi mabaya Pia ilikuwa ni matibabu ya Ndugai india yaliyotumia bil 2

4. Ukopaji holela ulifanyika Awamu ya Tano huku tukidanganywa kuwa zinatumika fedha za ndani kumbe ni uongo na Ndugai alikuwa kimya

5. Kwa kuangalia 2025 Ndugai na wenzake Sukuma gang waliandaa kikundi cha kum sabotage Rais
Hakuna wa kumharibia mama zaidi ya uoga wake tu
 
Kuhusu Ndugai nipo upande wa mama , namtetea mama, lakini kuhusu Tanganyika , nipo upande wa Ndugai, nahitaji Tanganyika yetu, tunataka serikali tatu Hapa. Haiwezekani Zanzibar ambayo Ina eneo dogo ifaidi national cake namna hii.
Una mtetea mama kwa kipi?
 
Hoja aliyoitoa Ndugai ina maana na uzito mkubwa sana,tatizo Ndugai kama Ndugai hakustahili kubeba hoja hiyo maana ana taswira mbaya sana kwa wananchi...ni muovu km Magu tu.
Hapo ndipo tunapoonekana wajinga!

Yani huangalii hoja ila unaangalia mtoa hoja.

Tuna safari ndefu bado
 
MI
Kujiuzulu kwa Ndugai kumeambatana na hisia tofauti za wananchi. Lipo kundi la wananchi libalooamini kuwa kilichomfanya Samia akasirike, kuwa mbogo na kukunjua makucha dhidi ya Ndugai kinyume cha haiba yake ya upole ambayo wananchi wameizoea ni. kutokana na Ndugai kuonyesha mshangao bungeni wa kwa nini takriban shilingi bilioni 230 ambayoni sawa na 17% ya mkopo wote kupelekwa Zanzibar yenye watu wasiofika milioni 2,halafu eti kilichobaki ndo kigawiwe kwa watu milioni moja 58 waliobaki.

Wachambuzi wa Mambo wanasema hilo suala lilimkera Bi Mkubwa na kwa hiyo akawa anatafuta timing tu ya kumla Ndugai kichwa. Watu wanaozungumzia sakata la Ndugai wanasema licha ya mambo mengi mabaya ambayo Ndugai amewahi kutenda, lakini hili suala la kuzungumzia mikopo siyo suala kubwa kivile la kusabanisha rais awe mbogo. Watu wanasema Rais ana Jambo lake, Nalo ni Zanzibar!. Wananchi wanasema ukiigusa Zanzibar, Samia hatokuacha!

Wanaopinga Mihela mingi kwenda Zanzibar wanasema kuwa Zanzibar yenyewe kwa yenyewe hata kama ndiyo iliyokopa kupitia jina la Tanzania, haina uwezo wa kulipa mabilioni yote kwa hiyo at the end of the day Kwenye ulipaji licha ya kuwa ni kweli tutalipa kama nchi, lakini zigo zito litabebwa na watanganyika.

watu wanahoji kuwa, Zanzibar ambayo bajeti yake haijawahi kufika Trillion mbili, yenye kudaiwa deni la Umeme miaka nenda rudi, itapata wapi pesa za kulipa shilingi bilioni 230 kama hilo deni siyo zigo litakalobebwa na watanganyika?

Wapo wanaotetea mabilioni mengi ya idadi hiyo kwenda Zanzibar kwa hoja kuwa Zanzibar ni nchi, hata hivyo watu hao wanajibiwa kuwa Zanzibar kuwa nchi hskumfanyi Mzanzibar astahili zaidi kuliko mtanzania mwingine yeyote.

Wananchi hasa mitandaoni, wamekuwa wakijadili aina ya muungano wetu na kupendekeza ufanyiwe marekebisho. Watu wanahoji, Kwa nini Mranganyika hana power juu ya mambo ya ndani ya Zanzibar yasiyo ya muungano, lakini Mzanzibar anaweza kuwa Mtawala ambaye ana amri juu ya mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano?

Kujiuzulu kwa Ndugai na namna alivyojiuzulu kumeibua hisia kali na mijadala mikali mitandaoni. Ngoja tuone hili sakata litaelekea wapi!
Mkiambiwa katimba mpya muelewe kuohoji na kuongea hakuzui kitu chochote
 
Kwani wakati mali za umma zinakimbizwa Chato watu si walitetea kwa nguvu kuwa ni sawa sasa hao hao wana guts zipi za kuhoji aina ileile ya tabia ya kiongozi mpya? It is nonsense mimi nilishajisemea Muungano ufe kila mtu apambane kivyake tu kuliko kila siku vilawamalawama kama watoto.
Leo wazanzibar wanashangilia kesho utasikia mayowe yao na wao bahati yao ni kwamba watanganyika hawajitambui tu laiti watanganyanyika wakijitambua kama wazanzibar juu ya nchi yao naamini Muungano utavunjika tu

Wewe uliejitambua pambana basi uuvunje huo muungano. Unamtegemea nani akusaidie? Mngazija mmoja wewe
 
Hakuna wa kumharibia mama zaidi ya uoga wake tu
Tangu lini Amir Jeshi Mkuu akawa muoga?

Kamsikikize Lissu mtaalam wa Sheria wa mtoa mada akwambie nguvu za Rais wa JMT kwa mujibu wa Sheria
 
Wakati mnawekewa traffic lights [emoji613] chato wakati punda tu walikuwa wanakatisha mbona hakuhoji?

Cha ajabu hakuna tunachokubali na hapo sio kuhoji ila lazima kuna mengi mama kayasikia kama kejeli na matusi
Kwani znz ikijengeka mbona bado ni sehemu ya Tz tu au kwa maendeleo hawamo?
Kuna watu wanafurahia machafuko tu huko ila wakisikia maendeleo roho za kwanini zinaanza
Acheni uchawi Zanzibar pia yetu na walisaini
 
Chawa wa Chief mkuu kazini, mtapambana sana lakini hoja ya Ndugai lazima iwatese Ile ni kerubu moja kubwa sana
 
Wakati mnawekewa traffic lights [emoji613] chato wakati punda tu walikuwa wanakatisha mbona hakuhoji?

Cha ajabu hakuna tunachokubali na hapo sio kuhoji ila lazima kuna mengi mama kayasikia kama kejeli na matusi
Kwani znz ikijengeka mbona bado ni sehemu ya Tz tu au kwa maendeleo hawamo?
Kuna watu wanafurahia machafuko tu huko ila wakisikia maendeleo roho za kwanini zinaanza
Acheni uchawi Zanzibar pia yetu na walisaini
Kubadili id hakusaidii..
chato ni wilaya mkoa wa geita
Jibu hoja..
Tukigawana mbao kwa jina lolote tutakalo tumia tutarudishaje
mikopo na mali zilizoenda Zenj?
 
Ndugai hana uwezo wa kiakili kuweza kuhoji mambo kama hayo. Spika mwenye akili na anayejielewa asingeweza hata kuentertain yale mambo ya "Magufuli atawale milele atake asitake" kule bungeni, sembuse uwezo wa kuhoji mgawanyo wa fedha kati ya bara na Zanzibar?
SI ALISEMA MWENYEWE ANA FAILI MIREMBE!
 
Back
Top Bottom