Wewe na hao mnaosema hivyo ni limited exposure na akili ndogo tu zinawasumbua.
Sasa niweke Tangazo hapa la nini kwa watu ambao hawajulikani ni wanaume ama wanawake?
Yaani nimekosa platform ya kutafta wanawake nije kuweka tangazo jf? Nisiende Instagram kule nyapu ziko nje nje nije humu? Jitahidi kutumia akili ndogo uliyonayo kuwaza vitu vya maana.
amependa ulicho nacho......hata sura ili uzae vitoto vizuri ukimaliza tu kazi yako anakuua....ili usije mletea nzi huko mbele ya safari. Ishini nao ka akili.