Umewaona eeeh! Yaani spidi 120! π
hahaaa mtatukoma leo........nyie mlienda kujenga taifa eeeh!!!!
No wonder. I can prove beyond reasonable doubt.hajawahi tangu kuzaliwa biggy, take my word, utani pembeni.......
Afadhali Dah!Hapana mkuu, mimi sio memba wa Billionares Club, pale ni kwa Baba Enock na vivian! π
Vivian kafulia. Baba Enock kamkimbia LOLZ!Hahahaha umeruka kihunzi vizuri sana.
Vivian kapotea sana sijui yupo vekesheni milimani!!
Hapa sasa unaanza kuharibu. Najisikia kama nataka kutapika vile!Ice cream za Bakhresa bwana, sinanilevya kirahisi sana! Sasa sijui siku nikinywa valuu itakuwaje!
eeeeeh yani mm dume?
JS i personally naomba sifa za Fidel80 unambie wewe mpendwa
Wanaikimbiza sredi mpaka wale wanao donoa donoa keyboard wanashindwa kunata na beat.
Hehehehe sisi tunajenga taifa huku tunaburudika na vionjo vya humu lakini spidi imekuwa kubwa mno.
Fidel ni mtu mcheshi sana, mwongeaji (maneno mengi kweli kama konda wa daladala). Fidel ni MKAKA kwa wale new members wa JF ambao hamjamfahamu bado. Fidel kwa urefu ana kimo cha kawaida na si mnene wala mwembamba. "Mlevi kupindukia" (xspin, geoff na kaizer wanapoteza mdogo wetu huyu). Fidel anapenda wadada sana (hajanitokea mpaka sasa sijui anasubiri nini we fidel hebu fanya the needful). Fidel bwana fidel ni fidel there will be no else like fidel. Mwisho, Fidel yuko single and searching for his soulmate bado.........
Dada FL1 huyo ndo Fidel80 wa JF

Nimekusoma.Fidel ni mtu mcheshi sana, mwongeaji (maneno mengi kweli kama konda wa daladala). Fidel ni MKAKA kwa wale new members wa JF ambao hamjamfahamu bado. Fidel kwa urefu ana kimo cha kawaida na si mnene wala mwembamba. "Mlevi kupindukia" (xspin, geoff na kaizer wanapoteza mdogo wetu huyu). Fidel anapenda wadada sana (hajanitokea mpaka sasa sijui anasubiri nini we fidel hebu fanya the needful). Fidel bwana fidel ni fidel there will be no else like fidel. Mwisho, Fidel yuko single and searching for his soulmate bado.........
Dada FL1 huyo ndo Fidel80 wa JF
Hehehe! Ndio uzuri wa kutumia Blackberry ya kichina.Wewe na huyu hapa
Nyie inabidi mfungwe spidi gavana mnaikimbiza sana hii sredi.
Ngoja tuwasiliane na Mods wawapunguzie kasi maana mnaikimbiza kweli kweli.
Dah! Hata wewe kiongozi?Umewaona eeeh! Yaani spidi 120! π
Mamushka twenzetu lunch. Shimo la udongo kuna sehemu kuna kongoro za kitimoto za kufa mtu.hahaaa mtatukoma leo........nyie mlienda kujenga taifa eeeh!!!!
πππ We JS umeanza kuvuta bangi eh?Fidel ni mtu mcheshi sana, mwongeaji (maneno mengi kweli kama konda wa daladala). Fidel ni MKAKA kwa wale new members wa JF ambao hamjamfahamu bado. Fidel kwa urefu ana kimo cha kawaida na si mnene wala mwembamba. "Mlevi kupindukia" (xspin, geoff na kaizer wanapoteza mdogo wetu huyu). Fidel anapenda wadada sana (hajanitokea mpaka sasa sijui anasubiri nini we fidel hebu fanya the needful). Fidel bwana fidel ni fidel there will be no else like fidel. Mwisho, Fidel yuko single and searching for his soulmate bado.........
Dada FL1 huyo ndo Fidel80 wa JF
Napata picha mbili kwa mpigo hapo!!!
Fidel ni mtu mcheshi sana, mwongeaji (maneno mengi kweli kama konda wa daladala). Fidel ni MKAKA kwa wale new members wa JF ambao hamjamfahamu bado. Fidel kwa urefu ana kimo cha kawaida na si mnene wala mwembamba. "Mlevi kupindukia" (xspin, geoff na kaizer wanapoteza mdogo wetu huyu). Fidel anapenda wadada sana (hajanitokea mpaka sasa sijui anasubiri nini we fidel hebu fanya the needful). Fidel bwana fidel ni fidel there will be no else like fidel. Mwisho, Fidel yuko single and searching for his soulmate bado.........
Dada FL1 huyo ndo Fidel80 wa JF
πππ We JS umeanza kuvuta bangi eh?
Fanya utaratibu umtume kijana alete kabisa Mbuzi pale Congo bar, fasta.Hahahahaha dah nimecheka mpaka basi leo nakuandalia mzinga wa Konyagi kabisa.
Kwa sasa umenitia hamu ngoja niende nikasuuze koo maana umenichekesha sana.
Umeongea ukweli mtupu,dah!Ila hapo kwenye red nadhani yeye ndiyo mwalimu.Fidel ni mtu mcheshi sana, mwongeaji (maneno mengi kweli kama konda wa daladala). Fidel ni MKAKA kwa wale new members wa JF ambao hamjamfahamu bado. Fidel kwa urefu ana kimo cha kawaida na si mnene wala mwembamba. "Mlevi kupindukia" (xspin, geoff na kaizer wanapoteza mdogo wetu huyu). Fidel anapenda wadada sana (hajanitokea mpaka sasa sijui anasubiri nini we fidel hebu fanya the needful). Fidel bwana fidel ni fidel there will be no else like fidel. Mwisho, Fidel yuko single and searching for his soulmate bado.........
Dada FL1 huyo ndo Fidel80 wa JF
kama sio member ulijuaje hao huwa wanenda pale?Hapana mkuu, mimi sio memba wa Billionares Club, pale ni kwa Baba Enock na vivian! π
Fanya utaratibu umtume kijana alete kabisa Mbuzi pale Congo bar, fasta.
Umeongea ukweli mtupu,dah!Ila hapo kwenye red nadhani yeye ndiyo mwalimu.