Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Umewaona eeeh! Yaani spidi 120! 🙂
Wanaikimbiza sredi mpaka wale wanao donoa donoa keyboard wanashindwa kunata na beat.
hahaaa mtatukoma leo........nyie mlienda kujenga taifa eeeh!!!!
Hehehehe sisi tunajenga taifa huku tunaburudika na vionjo vya humu lakini spidi imekuwa kubwa mno.