WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
WOS: Nahisi ni Mwanaharakati fulani anayefanya kazi na taasisi kama TAMWA, TGNP na kadhalika
Mzee Mwanakijiji: huyu sijui kama huwa analala, Mungu azidi kumpa Nguvu zaidi
Pape: Ni Mtu wa maskhara sana, ambaye sijawahi kumchukulia serious
Maxshimba: Huyu atakuwa Mchungaji lazima
Pearl: Wewe uanonekana mtu wa Viwanja sana, mtu wa Kupenda Miziki ya R&B
Kiranga: Anapenda kukata Nyanga zaidi
Mkuu.... hisia kama hizi sijui zinatoka wapi maana ziko mbali mno na ukweli..asante kwa kujaribu lakini.
Tafadhali rekebisha hapo juu
kwa sababu umenikwaza!
Heheheheee shem wewe....
Anyways, natoa changamoto kwa yeyote atakayepatia nitampa shilingi laki moja taslimu....
Ila nina uhakika kabisa hakuna hata mmoja atakayepatia kwa sababu I'm hard to figure out....
Actually you know what..I challenge anyone to say who I am....anyone....
Nyani Ngabu
-Mbishi
-Mchokozi
-mcheshi
-Mpenda starehe
-Mbunifu
-Mpenda totozi
-Mwenye kubadilika kuendana na mazingira hasa kwenye suala la heshima
-Mwenye nidhamu
-Mpenda mazoezi
Urefu ft 5.6-6
Haya nipe laki yangu mwana!
**Nyani Ngabu..**Heheheheee shem wewe....
Anyways, natoa changamoto kwa yeyote atakayepatia nitampa shilingi laki moja taslimu....
Ila nina uhakika kabisa hakuna hata mmoja atakayepatia kwa sababu I'm hard to figure out....
Actually you know what..I challenge anyone to say who I am....anyone....
Twafwadhali mkuu!Oohhh,
Haya basi Birigita.
KV?😱😱😀Twafwadhali mkuu!
Mi nahisi wewe utakuwa mchaga mchaga hivi, unapenda mavitimoto na mabia mengi mengi halafu unatokea Kula Vumbi
Mkuu, kama umeota vile.....kuna mtu mmoja aliniambia unajua wanawake wa size hizo......big mamaz huwa wana-confidence ile mbaya.Zamani nilihisi WOS ni mama wa shoka na mwemamba kama yule mama mwanaharakati anaitwa Usu Malya (kama sijakosea) ila sasa akili yangu imebadilika. Nahisi ni copy fulani ya Graca Machel/Mandela! 🙄
swahibaa! wikienda ndo hii!KV?😱😱😀
hata mimi shem?? Ona huyu Charity alivopatia hapa, ongezea 'mutu ya mazoezi kama Nguli.......
**Nyani Ngabu..**
Mtanashati........
Yuko Serious sana ingawa JF anapenda utani kidogo 50%
Respect mbele kwa kina mama..
Single looking .......maybe 2012-2015
Kwa swala la Totoz sijui labda atueleze ...not so sure..
Ana uchungu na mambo yanayoendelea nchini mwake lakini hana la kufanya .....
Anafikiria kabla ya kutoa jibu..
bado narudi simu inaita ..............................................**
Shem wewe huruhusiwi....na usiwaambie hao wengine. Ila kuna mmoja karibu kapatia kabisa...FL1
ndo maana sijasema zangu mie.......
btw kule kwenye couple za jf....wewe na Kiranga mbona watu hawataki kuwa-match???
Heheheheheee....shem wewe unajua mimi niko picky sana kiasi kwamba sidhani kama nina perfect match humu JF.....au wewe unadhani nani anaweza ku match vizuri na mimi?
Kiranga naye yuko kidizaini sana.....itakuwa ngumu kwake kupata match humu...
I told them........
shemeji kwa kigeezo hicho hicho nimeshindwa kukupatia match humu ila ngoja kuna mnyange humu bado namchuja.......
Twafwadhali mkuu!
Mi nahisi wewe utakuwa mchaga mchaga hivi, unapenda mavitimoto na mabia mengi mengi halafu unatokea Kula Vumbi
You almost got it....give it another try.....unaweza ukawa mshindi wa zawadi ya Nyani Ngabu....