Hahaha ...simu ilinikatili nilikuwa bado naendelea ....Bht ni-Pm bestlady
anakufaaa dada mmoja sijui alienda wapi anaitwa Chaku .
Chaku who? Alikuwepo hapa huyu?
nimeshafanya hivo bestlady wangu
@shemeji wala sitoi siri hapa tuna maongezi kuhusu usimamizi wa harusi
alikuwa na mapoint ya kufa mtu lakini na wasi sijui kapitiwa na mafuriko....Chaku who? Alikuwepo hapa huyu?
alikuwa na mapoint ya kufa mtu lakini na wasi sijui kapitiwa na mafuriko....
πhahaha harafu?
Halafu nimsalimie na kumjulia hali tu...
Hivi Pretty unamwonaje?
Halafu nimsalimie na kumjulia hali tu...
Hivi Pretty unamwonaje?
hujaniuliza lakini nimeshindwa kuvumilia.....hahaa ndo huyo mnyange nlokuwa nakuwazia shem....trust me!!!
kwenye avatar au?Hahahahaaaaa...kweli unanijua shem wangu....maana kama ulikuwa kichwani mwangu na kuona ninachowaza. Ila Pretty mzuri jamani looooh
Hahahahaaaaa...kweli unanijua shem wangu....maana kama ulikuwa kichwani mwangu na kuona ninachowaza. Ila Pretty mzuri jamani looooh
kwenye avatar au?
kwenye avatar au?
Masa kabanwa kwenye foleni tu, ana kiu ile mbaya, anatamani akifika kaunta apige moja ya bardiii, then ndo supu ya mkia.B bana usihamishie alcohol huku tena........tutakupeleka kwa Masanilo (rehab)
Babu huyu kwa kweli hata mimi sijawezaga "kumhisi" he/she is a rare and difficult character kuidentify.