Hisia zako zilikuwaje?

tumsubiri Mwanakijiji atatoamajibu yote.
Jamani vipi Kuhusu BABU ATAKA KUSEMA?

Babu huyu kwa kweli hata mimi sijawezaga "kumhisi" he/she is a rare and difficult character kuidentify.
 
Masanilo.........
De Novo........

Sikonge.......

Nyani Ngabu..............
 
karai langu linasoma chenga ...kuna watu kila nikijaribu kuwavuta ..Obulangata inaread zero Pearl!
 
Invizibo: Mlevi, mpenda vurugu, mpenda totoz
Maxence: Mvivu, mbishi,mchonganishi mpenda wake za watu.

Nikila ban wazee naomba mniombee msamaha LOLZ!Tafadhalini sana ndugu zangu. Chonde chondeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Unachungulia cello wewe sasa hahahahahahahaha kha!
 
haya sawa.....tujuane sijui saa nagpi na wapi....uniambie basi

nitafute kwenye 0683 059 726, saa saba hadi nane nina nafasi ya kutosha.
Baada ya hapo nitaingia mzigoni na nitatoka saa 11
 
Pretta:mpole,mpenda maendeleo,mvumilivu
We kumbe humjui huyu binti: Mlevi, Mchonganishi;Mwizi wa mali ya umma,Sijasema mnafiki ila mmbea.

Halafu ukiitwa mchokozi unakasirika wee biig brother wewe shauri yako mchokoze Maxence tuu utaona balaa lake
Nshawahi kukuchokoza weye? Nikila ban tafwazali naomba uniombee radhi.

na Maxence alivokuw amkubwa kama nyumba....akimwangukia biggy basi tena hata geneza hatuchongi!!!!!!!!!!!
Unaogopa majitu makubwa? Sasa usukumani unakimbilia nini?
 
Unaogopa majitu makubwa? Sasa usukumani unakimbilia nini?

kwani Balantanda huwa ananipiga???? afu yeye hana mwili mkubwa kiivo (not as huge as Maxcence) biggy
 
nitafute kwenye 0683 059 726, saa saba hadi nane nina nafasi ya kutosha.
Baada ya hapo nitaingia mzigoni na nitatoka saa 11


Kiranja, tunaruhusiwa kupaste hiyo namba ya simu for my future use please????
 
Kiranja, tunaruhusiwa kupaste hiyo namba ya simu for my future use please????

ohooooooo sasa tunaingiliana tena....yale yale Mwana Kijiji asopenda, mimi nijiinventie idea yangu ya kujuana na Kiranja Mkuu wewe sasa unaipaste tena for future use....js bana acha hizo basi....
 
Mamushkaaaaa am watchingπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!!!!!!!

I knew you will.....didnt I say you were too protective??

haya na JS anaikopi namba sasa.......
 
Fidel mimi nilikuwa namfikiria yuko kama alivyo X-pin yaani mtundu, mchokozi na mwenye matani mengi kumbe sivyo masikini mbaba wa watu!!
 
kaizer:gongo
xpin:wanzuki
G:Komoni
wengine wasikupe shiiiiisaBHT MBEGE,1STLADY ULANZI,PEARL: FANTA BARIIIIIIID

mbege niliacha xmas wewe sinywi tena.....natumia Nguli ndogo ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…