Hisia zako zilikuwaje?

Hisia zako zilikuwaje?

WOS: mdada,mmama,mwalimu ,mwanafunzi yuko tayri kujifunza kushirikiana na wenzie

Sijui kwanini huwa napata hisia kwamba WOS kwenye ile avatar yake ni picha yake yeye mwenyewe, halafu ni hakimu!! 🙂
 
Nisamehe Bht vidole viliteleza kidogo vikapotosha maana..............
icon10.gif
Safi sana mtoto mzuri!

heheee biggy si anasemaga kizuri ule na nduguyo........
Huyu bado. Sijui niteme mate chini?
 
Sijui kwanini huwa napata hisia kwamba WOS kwenye ile avatar yake ni picha yake yeye mwenyewe, halafu ni hakimu!! 🙂

mimi pia huwa naona that avatar ndo yeye
lakini kutokana na posts zake huwa nahisi ni social worker/mwanaharakati.......
 
Safi sana mtoto mzuri!

Huyu bado. Sijui niteme mate chini?

wewe huwa unampendele huyo biggy na sasa nakwambia hivi leave me alone na kwenye jukwaa la wakubwa naenda and I will nevr come home again.....

kaa na JS basi tuone.......
 
bht tunaomba utupe hisia zako kuhusu Balantanda tafadhali....!!! 🙂

hisia zangu kwake ni mapenzi

au unataka nitoe sifa zake za ukweli hapa.....
(watasema nawamba ngoma)
 
PUNGUZENI SPIDI maanake sredi inakuwa ngumu kuchangia
 
Salamu kutoka Kanda ya Ziwa:

Mafuriko yanatumaliza huku!!!

Dah poleni sana wandugu lakini nakumbuka kama Mwanakijiji alitoa angalizo mafuriko yanakuja huko kanda ya ziwa sasa sielewi mlikuwa mmejiandaaje na haya maafa au mlikuwa mnasubili yatokee. Sio mbaya tutachangishana tuje kuwaokoa.
 
Back
Top Bottom