Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
WOS: mdada,mmama,mwalimu ,mwanafunzi yuko tayri kujifunza kushirikiana na wenzie
Sijui kwanini huwa napata hisia kwamba WOS kwenye ile avatar yake ni picha yake yeye mwenyewe, halafu ni hakimu!! 🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WOS: mdada,mmama,mwalimu ,mwanafunzi yuko tayri kujifunza kushirikiana na wenzie
Safi sana mtoto mzuri!Nisamehe Bht vidole viliteleza kidogo vikapotosha maana..............![]()
Huyu bado. Sijui niteme mate chini?heheee biggy si anasemaga kizuri ule na nduguyo........
Sijui kwanini huwa napata hisia kwamba WOS kwenye ile avatar yake ni picha yake yeye mwenyewe, halafu ni hakimu!! 🙂
heheee biggy si anasemaga kizuri ule na nduguyo........
mie pia nikajua Fidel80 na totoz kama maji na samaki!
Safi sana mtoto mzuri!
Huyu bado. Sijui niteme mate chini?
bht tunaomba utupe hisia zako kuhusu Balantanda tafadhali....!!! 🙂
karibu anapata upadirisho huyu
hayuko hivo
mmh hii sasa kali ..post zake zote haziishi lager tu ..valuu ..masanga
Mbn za kwako hujacomment?jamani mbn mm sijaambiwa zangu?
Nsamehe bht-niliteleza tu wala hajaumia.POLE.kumbe wee muongo kweli, kaumia wapi sasa?
Salamu kutoka Kanda ya Ziwa:
Mafuriko yanatumaliza huku!!!
Salamu kutoka Kanda ya Ziwa:
Mafuriko yanatumaliza huku!!!