Kiranja, tunaruhusiwa kupaste hiyo namba ya simu for my future use please????
ohooooooo sasa tunaingiliana tena....yale yale Mwana Kijiji asopenda, mimi nijiinventie idea yangu ya kujuana na Kiranja Mkuu wewe sasa unaipaste tena for future use....js bana acha hizo basi....
Umeumia.
Mi nawaangalia tu.
Nikiwakamataaaaaaa😀😀😀!!!!!!!!!
haya ntafanya hivo...............
JS mama unashtakiwa kwa kosa la kunichekesha hadi nimelia!! Mbona unadandia treni kwa mbele we mwana?? Yaani kama namwona bht alivyotumbua macho ka anaingiza vocha ya mia tano kwenye simu lol!Kiranja, tunaruhusiwa kupaste hiyo namba ya simu for my future use please????
Fidel mimi nilikuwa namfikiria yuko kama alivyo X-pin yaani mtundu, mchokozi na mwenye matani mengi kumbe sivyo masikini mbaba wa watu!!
kaizer:gongo
xpin:wanzuki
G:Komoni
wengine wasikupe shiiiiisaBHT MBEGE,1STLADY ULANZI,PEARL: FANTA BARIIIIIIID
Mhhhhhhhh makubwa,huyu mnywaji wa gongo, asije,anataka kuharibu birthday yangu huyu, si tutaishia keko? si unajua polisi wanavyo mind kesi za gongo?
Kijukuu unaweza kufafanua hapo kwenye bold kabla sijatema mate chini?
Fidel mimi nilikuwa namfikiria yuko kama alivyo X-pin yaani mtundu, mchokozi na mwenye matani mengi kumbe sivyo masikini mbaba wa watu!!
JS mama unashtakiwa kwa kosa la kunichekesha hadi nimelia!! Mbona unadandia treni kwa mbele we mwana?? Yaani kama namwona bht alivyotumbua macho ka anaingiza vocha ya mia tano kwenye simu lol!
asante sana kwa ukarimu wako.
We jipe moyo tu!nitafute kwenye 0683 059 726, saa saba hadi nane nina nafasi ya kutosha.
Baada ya hapo nitaingia mzigoni na nitatoka saa 11
Nani amesha kutana na bwabwa?
Je yukoje?
JS mama unashtakiwa kwa kosa la kunichekesha hadi nimelia!! Mbona unadandia treni kwa mbele we mwana?? Yaani kama namwona bht alivyotumbua macho ka anaingiza vocha ya mia tano kwenye simu lol!
We jipe moyo tu!
Watch your steps. Usije ukasema sikukuonya!
mie pia nikajua Fidel80 na totoz kama maji na samaki!Hahahahaha waeleze bana wengi wanajua mm mhuni mpenda totozi kumbe wala mpole na mnyenyekevu.
mie pia nikajua Fidel80 na totoz kama maji na samaki!
ohooooooo sasa tunaingiliana tena....yale yale Mwana Kijiji asopenda, mimi nijiinventie idea yangu ya kujuana na Kiranja Mkuu wewe sasa unaipaste tena for future use....js bana acha hizo basi....
Hahahahh ndio mia tano na hamsini yaelekea bht mteja mzuri sana mamiiBora ucheke mwaya dada yangu maisha yenyewe haya mafupi
Hepi besidei kwa yule dogo mpendwa. aishi maisha marefu.
Nisamehe Bht vidole viliteleza kidogo vikapotosha maana..............