Hisia zako zilikuwaje?

Hisia zako zilikuwaje?

unanifahambut uliposema mm dume hapo ndo umechanganya habari,ngoja nikupe basi wasifu wangu kwa wasio nijua,mchapakazi san,sichagui kazi as long ni legal,mremboooooo,mchangamfu,menidne ngoja nijiangalie kwenye kioo kwanza.
yani unanikana leo ckujui
 
kama ni Mrs wako hainihusu but umemwambia una mtot huku?[QUOTE=Chrispin;839986]Inawezekana. Siku mojamoja dada yangu huyu huwa anazibua ubongo kwa bange.

Nshakuambia dada kalipuliza leo. Kama unabisha msome huyu hapa chini ambaye ndio huwa anamuuzia.

Hapo umepatia kabisaaa. Na Senksi umekula. Ni Mrs wangu yule kwahiyo namjua fika, nje na ndani.[/QUOTE]
 
Leo kwa kweli niliamka kiaina umeme ukawa haupo tukutuku ikagoma kuwaka basi tabu tupu nikaja JF nikasuuzika moyo kama kawaida. Ndugu zangu nyie mnanisahaulishaga shida za dunia hii.
Ingekuwa ijumaa ingekuwa balaa aau sio BHT??

Xspin kesho wapi?? au nikusemelee na wewe hisia zangu kwako???

you sound kama yalinikuta juzi nikaishia kuvaa nguo ya church......

jamani kesho ifike basi fasta.....
na wewe nimekumis ....ona sasa unaniponza natoa siri hapa!!
 
mpenda neno,Mungu,mbishi sanaaaaaaaaaaaaa,mkaka na heshima unazo japo kiduchu(joking)ah ah ah
nipe na ww wasifu wangu,zen umesema mm dume watu hawaelewi bana

akiyanani ww sikupatii picha yani mm mbishi sanaaaaaaaaaa heshima ninazo kiduchu da akutukanae akushaguliii tusi.

ila wewe ni mrembo asa macho unajua kuyatumia vyema,mchapa kazi,mtafiti,mcheshi, mdada aliyetayari kuolewa sema vijana awapo sirious mengine siri yangu
 
yani mm hata sielewi bana but ngoja nimwambie G,xpin,kaizer,maskai,buji etc wanaonifaham waseme ukweli
Pearl: Mfupi mwembaba. Mweusi kama mama Anna Mkapa. Anakunywa Konyagi na safari bia. Anapenda kuendesha baiskeli. Anapenda kuvaa kanga na kandambili. Anafanya kazi ya mama lishe maeneo ya Kurasini. Ameshatalikiwa mara tatu na kila talaka ina mtoto wake. Hii laptop anayotumia ni ya boifrendi wake wa sasa ambaye ndio ana ujauzito wake.

Kama kuna nilichokosea / kusahau Geoff please do the needful
 
sijakutukana bana c umesema niseme kuhusu ww?nasema kile nachoona mm au?usisahau mm ni msema kweli alwaz
akiyanani ww sikupatii picha yani mm mbishi sanaaaaaaaaaa heshima ninazo kiduchu da akutukanae akushaguliii tusi.

ila wewe ni mrembo asa macho unajua kuyatumia vyema,mchapa kazi,mtafiti,mcheshi, mdada aliyetayari kuolewa sema vijana awapo sirious mengine siri yangu
 
unanifahambut uliposema mm dume hapo ndo umechanganya habari,ngoja nikupe basi wasifu wangu kwa wasio nijua,mchapakazi san,sichagui kazi as long ni legal,mremboooooo,mchangamfu,menidne ngoja nijiangalie kwenye kioo kwanza.

ahaaaaaaaaaa acha ulongo ww ngoja nitoe wasifu wako
 
Pearl: Mfupi mwembaba. Mweusi kama mama Anna Mkapa. Anakunywa Konyagi na safari bia. Anapenda kuendesha baiskeli. Anapenda kuvaa kanga na kandambili. Anafanya kazi ya mama lishe maeneo ya Kurasini. Ameshatalikiwa mara tatu na kila talaka ina mtoto wake. Hii laptop anayotumia ni ya boifrendi wake wa sasa ambaye ndio ana ujauzito wake.

Kama kuna nilichokosea / kusahau Geoff please do the needful

ah ah ww yani mjamzito wakati nataka kutangaza ndoa
 
Pearl: Mfupi mwembaba. Mweusi kama mama Anna Mkapa. Anakunywa Konyagi na safari bia. Anapenda kuendesha baiskeli. Anapenda kuvaa kanga na kandambili. Anafanya kazi ya mama lishe maeneo ya Kurasini. Ameshatalikiwa mara tatu na kila talaka ina mtoto wake. Hii laptop anayotumia ni ya boifrendi wake wa sasa ambaye ndio ana ujauzito wake.

Kama kuna nilichokosea / kusahau Geoff please do the needful

Mbona unachukua madaraka ya Akili kichwani? Na Hizi talaka wewe ulijuwaje haya yote.Unanitia wasiwasi!
 
You must be genius.au una kaushehe yahaya kidogo.Itabidi nianze kufunga kumuombea Fidel,Xpin,Geoff n.k wasilewe valua na milas bila kuchoka.
Twakuomba utusikie!

Leo kwa kweli niliamka kiaina umeme ukawa haupo tukutuku ikagoma kuwaka basi tabu tupu nikaja JF nikasuuzika moyo kama kawaida. Ndugu zangu nyie mnanisahaulishaga shida za dunia hii.
Ingekuwa ijumaa ingekuwa balaa aau sio BHT??

Xspin kesho wapi?? au nikusemelee na wewe hisia zangu kwako???
Umepona? Kama umepona ntatafuta sehemu yenye bia nyingi na mdudu wa kuchoma tusafishe nyota!
 
PEARL - Mpole, mdadisi lakini sio mwnamke ni DUME.

FIDE - Machachari, mpenda totozi.

VUKANI - Mtu wa kucomplicate mno, mluga luga.

FIRST LADY - Kama pearl ila yeye ni mtata.

EMMA MAKOFIA - Ana kipara kama Mkapa.

BHT - Ni mwembamba kama Fido dido.

teh teeehh teeehhhhh!!!😀
 
Mbona unachukua madaraka ya Akili kichwani? Na Hizi talaka wewe ulijuwaje haya yote.Unanitia wasiwasi!

Pearl kasema ana mtoto wa Iribini hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

nimeanza sasa unokolist .....
 
ah ah ah yani ww duh nimecheka sana duh nazani punde hata jamaamwenye laptop ataniacha now ngoja nicheke kidog ntarudi shotrl
Pearl: Mfupi mwembaba. Mweusi kama mama Anna Mkapa. Anakunywa Konyagi na safari bia. Anapenda kuendesha baiskeli. Anapenda kuvaa kanga na kandambili. Anafanya kazi ya mama lishe maeneo ya Kurasini. Ameshatalikiwa mara tatu na kila talaka ina mtoto wake. Hii laptop anayotumia ni ya boifrendi wake wa sasa ambaye ndio ana ujauzito wake.

Kama kuna nilichokosea / kusahau Geoff please do the needful
 
Pearl: Mfupi mwembaba. Mweusi kama mama Anna Mkapa. Anakunywa Konyagi na safari bia. Anapenda kuendesha baiskeli. Anapenda kuvaa kanga na kandambili. Anafanya kazi ya mama lishe maeneo ya Kurasini. Ameshatalikiwa mara tatu na kila talaka ina mtoto wake. Hii laptop anayotumia ni ya boifrendi wake wa sasa ambaye ndio ana ujauzito wake.

Kama kuna nilichokosea / kusahau Geoff please do the needful
Duuuuuuuuuuh bazi ishia hapohapo
 
mama hawanipi shida hawa watoto wa juzi tu tangu wanalamba kamasi kwa ulimi nawaona na kuwaogesha sana hawa usijali ntamalizana nao
Mbona unachukua madaraka ya Akili kichwani? Na Hizi talaka wewe ulijuwaje haya yote.Unanitia wasiwasi!
 
WOS: Nahisi ni Mwanaharakati fulani anayefanya kazi na taasisi kama TAMWA, TGNP na kadhalika
Mzee Mwanakijiji: huyu sijui kama huwa analala, Mungu azidi kumpa Nguvu zaidi
Pape: Ni Mtu wa maskhara sana, ambaye sijawahi kumchukulia serious
Maxshimba: Huyu atakuwa Mchungaji lazima
Pearl: Wewe uanonekana mtu wa Viwanja sana, mtu wa Kupenda Miziki ya R&B
Kiranga: Anapenda kukata Nyanga zaidi
 
hahaaa mkuu umenichekesha sana kwenye red lol!!
 
kama ni Mrs wako hainihusu but umemwambia una mtot huku?[QUOTE=Chrispin;839986]Inawezekana. Siku mojamoja dada yangu huyu huwa anazibua ubongo kwa bange.

Nshakuambia dada kalipuliza leo. Kama unabisha msome huyu hapa chini ambaye ndio huwa anamuuzia.

Hapo umepatia kabisaaa. Na Senksi umekula. Ni Mrs wangu yule kwahiyo namjua fika, nje na ndani.
[/QUOTE]
Pearl kasema ana mtoto wa Iribini hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

nimeanza sasa unokolist .....

Pearl ndugu yangu,nilikuamini sana kumbe huaminiki.Wasaidaka,wafaidaka,wapunduka?
Nimekukaribisha kwa heshima na taadhima kumbe unanizunguka?Najuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kukufahamu.

Na wewe Chris:
Mashemeji wangapi baaba,mimi nimechooooooka!
tena najiuliza sanaaaaaa?wanatokea wapiiiiii?
unanipa uchunguuuu,nakuwa na wasiwasiiiiiiii!
unaniweka roho juuuu imani naweeeeeeeee imeshanitokaaaaaaaaaaa!

Bht natangulia kwenye maombi kwa mwakasege naomba unifuate maana preshaaa inapanda,presha inashuka.
 
ah ah ah viwanja unamaanisha mashamb?eeeeeh bana mm mkulima na mfugaji kwakweli

Back
Top Bottom