KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Katika kesi iliyopangwa kufanyika tarehe 6/7/26//2026 ya kupingwa ubunge wa ' Baba Levo' hisia za ndani kabisa zinaniambia ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge
Watafunane tu.Uchaguzi haramu hauwezi kuzaa halali.Katika kesi iliyopangwa kufanyika tarehe 6/7/26//2026 ya kupingwa ubunge wa ' Baba Levo' hisia za ndani kabisa zinaniambia ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge
Ngoja tuone.Hata kama mahakama ikimvua huo ubunge, kwani hatakuwa na sifa za kugombea tena?
Aende wapi tena Ze Komedi wa Bunge mtetea wanaume!!Katika kesi iliyopangwa kufanyika tarehe 6/7/26//2026 ya kupingwa ubunge wa ' Baba Levo' hisia za ndani kabisa zinaniambia ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge
Analialia kuliwa nauli alizotuma kwa milupo yake.Aende wapi tena Ze Komedi wa Bunge mtetea wanaume!!
Hana aibu.Utamuona tu.Atakwambia ndiyo demokrasia.Kwahiyo ZZT atagombea ?
If yes nadhani atakuwa ameua reputation yake completely
ZZK ndiyo amefungua kesi au yule mbunge wa mwanzo wa sisiemu?Katika kesi iliyopangwa kufanyika tarehe 6/7/26//2026 ya kupingwa ubunge wa ' Baba Levo' hisia za ndani kabisa zinaniambia ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge
Labda kesi kama imefunguliwa na CCM mwenzake kinyume hapo bado ataendelea kudundaKatika kesi iliyopangwa kufanyika tarehe 6/7/26//2026 ya kupingwa ubunge wa ' Baba Levo' hisia za ndani kabisa zinaniambia ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge
Kawasema vibayaOngeza nyama nyama kidogo.
Kesi haiwezi kuisha ndani ya siku moja.Labda liwe staged tukio ili kuwatoa Watanganyika kwenye 7/7
Hapo ni kwa hisia je uhalisia?Katika kesi iliyopangwa kufanyika tarehe 6/7/26//2026 ya kupingwa ubunge wa ' Baba Levo' hisia za ndani kabisa zinaniambia ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge