Hisia zinaniambia Baba Levo ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge

Kwahiyo ZZT atagombea ?

If yes nadhani atakuwa ameua reputation yake completely
Auwe mara ngapi? Hauna rais mbovu kuwahi kuongoza Tanzania kama huyu muuuaji Samia, lakini kwa sababu ni ''mwenzetu'' yeye anauma na kupuliza. Mbinafsi sana huyu. Hafai kabisa. Halafu ni mdini na ana chuki ya ndani kwa wanasiasa wengine wenye mafanikio.
 
B level Ba atashindwa kesi, utaitwa uchaguzi mwingine, atagombea na Abdul Nondo, B level Ba atashinda tena, this time kihalali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…