kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Ndio kulowa kwenyewe huko huko maneno yake kukuzunguka kichwani
kadogodogo ila shimo la bakuli sihaba
Sasa nipe mawasiliano yako mi huwa na deal na mashangazi tuu ka haupo huko basi jua mi sio vitu vyangu....Bado miaka mingi sanaa kufika huko daah mbali sana huko
Sasa nipe mawasiliano yako mi huwa na deal na mashangazi tuu ka haupo huko basi jua mi sio vitu vyangu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Am warmly waiting for your PM dear
Af kumbe kanda yetu ndo pendwa na hamsemi, okok[emoji23] sasa ulikuwa lini mjanja na umetokea kwa washamba falaaa
Unaona mambo yanaenda kichina au ..!!?[emoji16]
Hatari sanaMbona hii typing ni ya kiume
Ukiona hivo ujue wapo insecured...wanaona wanaume weupe wanawafunika pale hata wakitoka out...na unavyojua mwanamke anapenda Kila kizur kiwd upande wake...Sasa anapozidiwa anajitafutia faraja ya uongo kuwa anapenda mwanaume mweusi...ila I deep down anapenda kudate mwanaume mweupe.Hapa huwa pananichanganya maana wanaume weusi wamejaa tele mtaani wanalalamika hawapati mademu kisa rangi zao lakini wanaume weupe wanashobokewa na mademu.
Kiukweli huwa nashindwa kuelewa ukweli wa hili maana iweje wanaume wanaoongoza kuwa single ni weusi wakati huo huo weupe wana date na mademu kibao kwa wakati mmoja.
Binafsi ni mweupe na nina mademu wanne wa kupumzikia japo wao wanajua nina future nao na wawili wanafahamiana kama nadate nao huwa wanapigana mikwara lakini hayupo aliye tayari kuachia ngazi.
Wanawake buana! Wanakwambia wanapenda mwanaume mweupe lakini wakitaka kuzaa wanataka watoto weupe.
Ukiona hivo ujue wapo insecured...wanaona wanaume weupe wanawafunika pale hata wakitoka out...na unavyojua mwanamke anapenda Kila kizur kiwe upande wake...Sasa anapozidiwa anajitafutia faraja ya uongo kuwa anapenda mwanaume mweusi...ila I deep down anapenda kudate mwanaume mweupe...Hapa huwa pananichanganya maana wanaume weusi wamejaa tele mtaani wanalalamika hawapati mademu kisa rangi zao lakini wanaume weupe wanashobokewa na mademu.
Kiukweli huwa nashindwa kuelewa ukweli wa hili maana iweje wanaume wanaoongoza kuwa single ni weusi wakati huo huo weupe wana date na mademu kibao kwa wakati mmoja.
Binafsi ni mweupe na nina mademu wanne wa kupumzikia japo wao wanajua nina future nao na wawili wanafahamiana kama nadate nao huwa wanapigana mikwara lakini hayupo aliye tayari kuachia ngazi.
Wanawake buana! Wanakwambia wanapenda mwanaume mweupe lakini wakitaka kuzaa wanataka watoto weupe.
Kikubwa kahawa isipoe...Hata kama ya kiume toa ushauri kulingana na story
Wakuu kwema,,
Baada ya takribani miezi 7 ya kuwa single… na kutokumpenda mwanaume yoyote sasa nahisi Kama nataka ku fall kwa stranger…
Napofanya kazi amekuja boss mpya sio boss wangu mimi ni wa wafanyakazi wenginee ila na mimi namwita tu boss…
Kwa mara ya kwanza alipofika nilimpokea na kumkaribisha sikujua kama ni boss nilijua tu ni mteja and ali respond vizuri so tukapigapiga story alinivutia… alichukua namba yangu and we chart kama mnavyojua tena Hakunaga cha maana zaidi ya kuulizana shemeji hajambo na wifi mzima
Ni zile rangi pendwa black man… napenda mwanaume mweusi kwasababu mimi ni mweupe so I don’t like white
man
Still hajanitamkia kuwa ananipenda but yuko interested kuongea na mimi akiniona ananichangamkia na utani kuwa atanitafutia mchumba wa kanda ya ziwa.. kuna zile ishara za kuonesha kuwa huyu mkaka anataka kunitongoza ila anakausha ninaziona…. Natamani aseme hivyo labda nitafeel good
Ukweli sijui Kama nampenda ama ni upwiru wa kukaa single muda mrefu au vyote kwa pamoja…
Kijana mwenyewe naona kama ameanza kutoa attention kwangu so na mimi nimejikaza nisimshobokee… but inakuwa ngumu kwasababu tunaonana mara zote na kuna baadhi ya vitu lazima nipeleke ofisini kwake so inakuwa ngumu kwangu
Nataka ushaurii namna ya kukabiliana na hiyo hali yaani nisimfikirie kabisaa maana kunapoelekea nahisi nateseka tu
🤭😋[emoji3][emoji3] mwanaume mweusi anavutia nyie halafu akuwe na timberland [emoji2970]
Ha haa! yule demu wangu wananisingizia tu myNa yule wa kijijini
Wanaume weupe hawapendi kabisa kuskia hii.[emoji3][emoji3] mwanaume mweusi anavutia nyie halafu akuwe na timberland [emoji2970]
Mkuu kisimi ni neno la kawaida , umelipenda eh😂😂😂Mama mchungaji ni wewe umetype hii comment? au account yako ya jf imehakiwa!
BTW nimependa neno kisim 😃 Hope urassa
Hiyo ni kweli wanaume weusi tunateseka sanaHapa huwa pananichanganya maana wanaume weusi wamejaa tele mtaani wanalalamika hawapati mademu kisa rangi zao lakini wanaume weupe wanashobokewa na mademu.