Hisia zinanitesa juu ya huyu Kaka wa kanda pendwa

Hisia zinanitesa juu ya huyu Kaka wa kanda pendwa

Bado miaka mingi sanaa kufika huko daah mbali sana huko
Sasa nipe mawasiliano yako mi huwa na deal na mashangazi tuu ka haupo huko basi jua mi sio vitu vyangu....

😂😂😂😂 Am warmly waiting for your PM dear
 
Kama ni private labda yaweza kuwa sawa ingawa haishauriwi na kama serikalini rejea code of good conducts itakusaidia kuacha hizo Geny*e zako.
 
Kwa huu ubaguzi ulioonyesha acha niombe....eeh Mungu wa mbinguni..endelea kumpigisha matukio huyu kiumbe wako mpk aheshimu wanaume wote kwani sote tu wako...na tuseme ameen
 
Hapa huwa pananichanganya maana wanaume weusi wamejaa tele mtaani wanalalamika hawapati mademu kisa rangi zao lakini wanaume weupe wanashobokewa na mademu.

Kiukweli huwa nashindwa kuelewa ukweli wa hili maana iweje wanaume wanaoongoza kuwa single ni weusi wakati huo huo weupe wana date na mademu kibao kwa wakati mmoja.

Binafsi ni mweupe na nina mademu wanne wa kupumzikia japo wao wanajua nina future nao na wawili wanafahamiana kama nadate nao huwa wanapigana mikwara lakini hayupo aliye tayari kuachia ngazi.

Wanawake buana! Wanakwambia wanapenda mwanaume mweupe lakini wakitaka kuzaa wanataka watoto weupe.
Ukiona hivo ujue wapo insecured...wanaona wanaume weupe wanawafunika pale hata wakitoka out...na unavyojua mwanamke anapenda Kila kizur kiwd upande wake...Sasa anapozidiwa anajitafutia faraja ya uongo kuwa anapenda mwanaume mweusi...ila I deep down anapenda kudate mwanaume mweupe.
 
Hapa huwa pananichanganya maana wanaume weusi wamejaa tele mtaani wanalalamika hawapati mademu kisa rangi zao lakini wanaume weupe wanashobokewa na mademu.

Kiukweli huwa nashindwa kuelewa ukweli wa hili maana iweje wanaume wanaoongoza kuwa single ni weusi wakati huo huo weupe wana date na mademu kibao kwa wakati mmoja.

Binafsi ni mweupe na nina mademu wanne wa kupumzikia japo wao wanajua nina future nao na wawili wanafahamiana kama nadate nao huwa wanapigana mikwara lakini hayupo aliye tayari kuachia ngazi.

Wanawake buana! Wanakwambia wanapenda mwanaume mweupe lakini wakitaka kuzaa wanataka watoto weupe.
Ukiona hivo ujue wapo insecured...wanaona wanaume weupe wanawafunika pale hata wakitoka out...na unavyojua mwanamke anapenda Kila kizur kiwe upande wake...Sasa anapozidiwa anajitafutia faraja ya uongo kuwa anapenda mwanaume mweusi...ila I deep down anapenda kudate mwanaume mweupe...
 
Wakuu kwema,,

Baada ya takribani miezi 7 ya kuwa single… na kutokumpenda mwanaume yoyote sasa nahisi Kama nataka ku fall kwa stranger…

Napofanya kazi amekuja boss mpya sio boss wangu mimi ni wa wafanyakazi wenginee ila na mimi namwita tu boss…

Kwa mara ya kwanza alipofika nilimpokea na kumkaribisha sikujua kama ni boss nilijua tu ni mteja and ali respond vizuri so tukapigapiga story alinivutia… alichukua namba yangu and we chart kama mnavyojua tena Hakunaga cha maana zaidi ya kuulizana shemeji hajambo na wifi mzima

Ni zile rangi pendwa black man… napenda mwanaume mweusi kwasababu mimi ni mweupe so I don’t like white
man

Still hajanitamkia kuwa ananipenda but yuko interested kuongea na mimi akiniona ananichangamkia na utani kuwa atanitafutia mchumba wa kanda ya ziwa.. kuna zile ishara za kuonesha kuwa huyu mkaka anataka kunitongoza ila anakausha ninaziona…. Natamani aseme hivyo labda nitafeel good

Ukweli sijui Kama nampenda ama ni upwiru wa kukaa single muda mrefu au vyote kwa pamoja…

Kijana mwenyewe naona kama ameanza kutoa attention kwangu so na mimi nimejikaza nisimshobokee… but inakuwa ngumu kwasababu tunaonana mara zote na kuna baadhi ya vitu lazima nipeleke ofisini kwake so inakuwa ngumu kwangu

Nataka ushaurii namna ya kukabiliana na hiyo hali yaani nisimfikirie kabisaa maana kunapoelekea nahisi nateseka tu
1728749143842.jpg
 
natamani sana kuwa na mtu ambae anaeleweka akanipenda nikampenda tukapendana maisha yakaenda… msione watu tumekaa single miezi yote ni vile hatupendi idadi iongezeke (count body)
Punguza kuomba hela mda mfupi baada ya kutongozwa kadogo2
 
Hapa huwa pananichanganya maana wanaume weusi wamejaa tele mtaani wanalalamika hawapati mademu kisa rangi zao lakini wanaume weupe wanashobokewa na mademu.

Kiukweli huwa nashindwa kuelewa ukweli wa hili maana iweje wanaume wanaoongoza kuwa single ni weusi wakati huo huo weupe wana date na mademu kibao kwa wakati mmoja.

Binafsi ni mweupe na nina mademu wanne wa kupumzikia japo wao wanajua nina future nao na wawili wanafahamiana kama nadate nao huwa wanapigana mikwara lakini hayupo aliye tayari kuachia ngazi.

Wanawake buana! Wanakwambia wanapenda mwanaume mweupe lakini wakitaka kuzaa wanataka watoto weupe.
Hiyo ni kweli wanaume weusi tunateseka sana
 
Back
Top Bottom