HISPANIA: Shakira ashtakiwa kwa kukwepa kodi, wataka afungwe jela miaka 8

HISPANIA: Shakira ashtakiwa kwa kukwepa kodi, wataka afungwe jela miaka 8

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
shakira.jpg

Mwanamuziki Shakira anaweza kukutana na kifungo cha miaka nane na miezi miwili jela pamoja na faini ya Dola Milioni 24 (Tsh. Bilioni 55.7) kama atakutwa na hatia katika mashitaka ya kukwepa kulipa kodi.

Shakira alipewa ofa na watoza kodi kuwa wayamalize kwa kutakiwa kulipa kiasi cha fedha kati ya deni la kodi Dola Milioni 15 (Tsh. Bilioni 34) analodaiwa, aligoma na kusema yupo tayari shtaka lifikishwe Mahakamani kwa kuwa anaamini hana kosa.

Hivyo, kesi hiyo imepelekwa Mahakamani na Shakira ambaye jina lake kamili ni Shakira Isabel Mebarak Ripoll, amefunguliwa kesi kwa kutolipa kodi kati ya mwaka 2012 na 2014-


0000000000000000000000000000

International pop star Shakira could face both a hefty prison sentence and fine if convicted in her trial for alleged tax fraud.

Prosecutors in Spain are requesting Shakira be sentenced to eight years and two months in prison, and pay a fine of 24 million euros ($24 million).

Shakira was offered a settlement agreement but rejected it, choosing to go to trial. A date has yet to be set.

Representatives for Shakira told Fox News Digital, "Shakira has always cooperated and abided by the law, demonstrating impeccable conduct as an individual and a taxpayer, and faithfully following the counsel of PriceWaterhouse Coopers, a prestigious and globally recognized tax firm. Unfortunately, the Spanish Tax Office, which loses one out of every two lawsuits with its taxpayers, continues to violate her rights and pursue yet another baseless case. Shakira is confident that her innocence will be proven by the end of the judicial process."

Shakira, whose full name is Shakira Isabel Mebarak Ripoll, is charged with failing to pay the Spanish government 14.5 million euros ($15 million) in taxes between 2012 and 2014.

Prosecutors in Barcelona allege the "Hips Don't Lie" singer spent more than half of both 2012 and 2014 in Spain, and therefore is required to pay taxes in the country.

The three-time Grammy Award winner and three-time Latin Grammy Award winner is facing six charges.

In May, the star appealed the same tax fraud charges, but a court struck down her request.

Shakira and her longtime love Gerard Piqué, who plays soccer for FC Barcelona, recently split after an 11-year relationship. She shares two children with the athlete, Sasha and Milan.


Source: FoxNews
 
Na hapa aliyechomesha atakuwa pique tuu🤣🤣🤣🤣
Mwenza usimpe siri zote ata kama mapenzi yamekole namna gani. Hujui ya mbele
Mkuu Ulaya sio Africa,kwenye kodi hakuna sula la siri ya mtu au kuchomeshwa na mtu kwani kila kitu huwa kwenye system, malipo yote hufanywa kwa mikataba na taratibu maarumu kwa hiyo hata ukidanganya leo kesho utashtukiwa tu.
 
Kila siku kesi za ukwepaji kodi ni Spain tu, inawezekana system yao ya ukusanyaji kodi ina mushkeli kidogo. Sio Shakira tu, tumewahi kusikia wacheza football wengi wakipata hili tatizo kwenye nchi ile. Nafikiri kuna kitu hakiko sawa.
 
Back
Top Bottom