Historia 2023: Ukraine ilishiriki kwenye uvamizi haramu wa Iraq na kufanya kile inachofanyiwa leo

Historia 2023: Ukraine ilishiriki kwenye uvamizi haramu wa Iraq na kufanya kile inachofanyiwa leo

Hujanielewa kabisa.

Kichwa cha habari cha mada yako kwa jinsi kilivyo (kwangu mimi) hakiakisi upeo mkubwa na uzito wa maelezo uliyoandika hapa. Kuna wakati nilidhani unaongea habari ya karma kama mwana-JF mwenzetu mmoja anavyopenda kufafanua (kwamba what goes around comes around). Yaani kuhusisha uvamizi wa Urusi huko Ukraine na ushiriki wa Ukraine katika uvamzi haramu wa Iraq. Usishangae nikikuambia sikuelewa kabisa the gist and object ya mada.

Hata comment yako ya mwisho uliyonijibu kuhusu sovereignty ya Ukraine, I admit, did'nt make any sense to me. I clicked the thanks just to appreciate the effort.

Ungeniambia tu mzee hapa hujaelewa kitu ningekukubalia moja kwa moja kwa sababu mambo ya "kukaza fuvu" hayako katika ulimwengu wangu.

After reading this long input, I now note you have a deeply treasured message you wish to articulate to the public. I again stand aside and continue my learning process.
Nisamehe Mkuu Drifter, Nimekusoma na Natengua Kauli.
 
It's too general bro, sema wapi nilipo danganya nije kufafanua
Wewe ni MWONGO.

Arabs are a majority in Iraq.

Arabs are not ancient Babylonians.

Halafu hakuna sehemu nimesema Wakristo wa Iraq walinyanyaswa na Saddam. Hili umelileta wewe kwa kushindwa kuelewa nilichoandika hapo juu. Hili linadhihirisha tatizo ambalo lipo humu ndani, KUSOMA HOJA ILI KUJIBU, na siyo KUSOMA HOJA ILI KUELEWA. Huu ni ushabiki, binafsi huwa siufanyi.
 
Back
Top Bottom