denis fourplux
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 1,049
- 1,385
Kilwa nimekaa apo
1. Ushirikina mfano kmpny y busi mpk apo ni moja tu Mashallah jaribu kufany wewe uone moto
2. Dini nlienda kilwa visiwan watoto wako madrasa mda wa masomo shule walimu wapo 2 tu wanepumzik wanafunzi ata 50 hawafiki (nlienda katik mradi siku 7)
3.umwinyi bado upo watu hawafanyi kazi zaidi ya kukaa vijiweni.
4.wazawa ni wengi kuliko wahamiaji ivyo hawana uelewa wa mambo mengi nje ya mji wao
5.uwekezaji hafifu pale kilwa miaka yote kuna hotel moja mbovu sana inaitwa nangurukuru watu wanaogopa kuwekeza, uwekezaji katika nyanja nyingine ni mdogo kulingana na mzunguko wa pesa.
6. Kusini swala la elimu sahau wengi wanasoma waendeshe boda boda , wanawake waolewe basi elimu kwao ni tatizo kubwa vizazi na vizazi havipendi maswala ya elimu kabisa wao wanapenda mambo ya kilimo, vijiwe na ulozi basi
Ntarudi baadae