Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

Sawa tumemsikia ngoja tusubiri na historian ya yule aliyeokotwa jalalani kwenye vinyesi na mapepo wachafu
 
Mtu makini hawezi kupoteza muda kuangalia hizo futuhi za bunge hilo
 
Mara nyingi hawa waliokulia dhiki hugubikwa na roho mbaya sana !
Mi nilitaka kuuliza hivi "Je baada ya yeye kuupata ukuu wa jengo lile dhiki na shida zake vimeisha?"
Je hizo dhiki zake ndizo zilimfanya asijali maradhi au madhila ya wenzake? Je ndizo sababu za kumtwanga rungu mpinzani wake?
Ah najiuliza tu...
 
Back
Top Bottom